Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
GoldBerg mtaalamu wa Spear Roman akasomeGoldberg, hulk Hogan, macho man, the rock.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoldBerg mtaalamu wa Spear Roman akasomeGoldberg, hulk Hogan, macho man, the rock.
Steve Austin mzee wa kunywaKane, aj styles, mark Henry, stone cold, dean ambrose, cm punk.
Naam muulize Brock Lesnar ana mjua😂🤣GoldBerg mtaalamu wa Spear Roman akasome
undertaker naweza kubali, ila Austin muoga huyu.Steve Austin mzee wa kunywa
Wrestler bora kuwahi kutokea, yeye na mtaalamu Undertaker kwa upande wangu
... acha basii! 😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣✨Kawaida mkuu, hata Makolo wanaangalia mechi za Simba na wanajua watapata penati.
Hiyo ndio maana ya entertainment na art, lengo ni kujifurahisha. Na "ungo" au "ukweli" wa kitu ni mada complex sana na mara nyingi maana yake ni subjective au matokeo tu ya watu ku-label vitu kiuvivu/kiwepesi bila kufikiria kiupana. Mfano michoro ya picha unaweza sema ni "uongo!" Lakini kwanini iwe "uongo"? Kama tafsiri ya neno mchoro ni "kiwakilisha mawazo au chochote" na mawazo ni uhalisia! Ukilinganisha kwamba as long as kitu kina "identification" au "jina" basi tayari kinabeba uhalisia wake wa aina yake sababu tafsiti ya "uongo" ni kitu "kisichokuwepo." Kwa maana, hiyo picha na movie vyote ni "kweli" au "halisia."Si bora mieleka, watu wanaangalia movie ambayo wanajua kabisa 100% ni uongo hakuna kitu cha kweli mule na bado wanaangalia na kushangilia kabisa star akishinda [emoji3]
Hata wanaochangia wanachingia kama marobotiLugha za AI/Google huwaga ngumu
Hapa umeongea kila kitu.Kuna tofauti ya uongo na mshindi kua pre determined. Mieleka sio kwamba watu hawapigani, wanapigana kweli sema matukio yote yanayofanyika hua yamejadiliwa kabla, nani atampiga nani wapi na mchezo utamaliziwaje. Ofcourse mwanamieleka anaweza kwenda offscript lakini sehemu kubwa ya mchezo unakua umepangwa kwa sababu ni mchezo unaotokana na storyline ama hadithi muendelezo.
Kusema mieleka ni fake sio kweli, watu hupigana kweli, kusema matokeo ya mieleka hua yamepangwa hapo ndip kweli.
Ndio maana inaitwa entertainment, ni mieleka ya burudani.
Usimsahau swahiba wake GoldbergSteve Austin mzee wa kunywa
Wrestler bora kuwahi kutokea, yeye na mtaalamu Undertaker kwa upande wangu
Na tamthilia je?Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na utekelezaji bado ni muhimu kwa mtazamaji.
Mambo muhimu kuhusu kwa nini watu hutazama mieleka licha ya asili yake ya hatua:
Kusimulia hadithi:
Mchezo wa mieleka umeundwa ili kusimulia hadithi zinazovutia na mashujaa, wahalifu, mashindano na matukio ya hila, kuweka watazamaji kuwekeza katika nani atashinda na kwa nini.
Mchezo wa riadha:
Ingawa matokeo yamepangwa kimbelembele, wanamieleka bado wanafanya mambo ya kuvutia ya nguvu, wepesi na sarakasi.
Ukuzaji wa tabia:
Mashabiki huungana na wanamieleka kulingana na utu wao, hadithi za nyuma, na safu za wahusika, na hivyo kuongeza kina kwa burudani.
Ushiriki wa kihisia:
Vipengele vya kushangaza kama vile kuanguka kwa karibu, mabadiliko ya mshangao, na makabiliano makali yanaweza kuunda hisia kali kwa watazamaji.
Kutoroka:
Mieleka hutoa njia ya kuepuka maisha ya kila siku na kufurahia hali halisi iliyoimarishwa yenye mienendo mizuri dhidi ya uovu.
🤣Hata wanaochangia wanachingia kama maroboti