Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kipimo kipi
To calculate a person's IQ, take the person's mental age and divide it by their chronological age. Next, divide that number by 100.
For example, if a person has a mental age of 11, and they are 9 years old, the equation will look like this: 11/9 x 100= 122. This equation shows that the person in question has an IQ of 122.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!
 
Hiyo ya barua sijui ....hila kuna shida ya watu kutambua hii siri 👉 KUNA DARAJA 3 ...utakuta watu wanarumba kuhusu mungu wengine wanasema mungu yupo na wengine wanasema mungu hayupo wale wanao sema mungu yupo wanawaona wale wanao pinga ni wapumbavu na kinyume chake ni hivyo hivyo hapa utaona daraja 2...wanao sema hakuna mungu na wanaosema yupo mungu ...hilq kuna daraja la 3 ambalo ni wachache tu walio jaliwa ndiyo ulifikia la ufahamu sasa nitafafanua hayo madaraja yote ma 3...
1) DARAJA LA 1
Ni wale wanao sema mungu yupo ila ndiyo wapumbavu kuliko wanao sema hakunq mungu
2) DARAJA LA 2
Ni wale wanaosema hakuna mungu hili daraja lina akili kuliko hao wa daraja la kwanza hapo juu ...sasa utashangaa mbona na wewe unesema watu wenye IQ kuwa awawezi kusemq hakuna mungu mbona hapa ni lugha gongana 😁 kunq daraja la mwisho ndiyo daraja la 3
3)DARAJA 3
Ndiyo wale walio pevuka wanao sema Mungu yupo ila ni tofauti na wale wapumbavu wa daraja la kwanza ambao nao wanasema hivyo hivyo kuwa mungu yupo ....hawa wa daraja la 3 ndiyo wenye IQ kubwa sana wenye akili bora sana ....hivyo mimi nikimsikiq mtu anasema mungu yupo mara nyingi namweka kwenye daraja la 1 ambalo ni wapumbavu wakubwa sana na nikisikia mtu anasema hakuna mungu namweka kwenye daraja la 2 ambalo ni lenye akili zaidi hila siyo kama daraja la 3....
Watu mara nyingi wana Tanga Tanga katika hata madaraja mawili wasiweze kuona daraja la 3 .
Hao wa daraja la pili ndo wapumbavu kabisa
Anyway,wewe uko daraja gani
 
Hao wa daraja la pili ndo wapumbavu kabisa
Anyway,wewe uko daraja gani
Soma tena nilicho andika vizuri ...wapumbavu kabisa ni wadaraja la kwanza siyo la pili ...mtu anapo fikia daraja la kusema hakuna mungu hiyo ni dalili kuwa huyo mtu kaanza kupata akili kubwa Kiranga ila bado ajafikia daraja ya 3 na niwachache tu wanaoweza kuifikia daraja ya 3 au kuiona wengi wanaishia daraja la 2 na kurudi daraja ya kwanza ya wapumbavu wanaosema mungu yupo.
 
Soma tena nilicho andika vizuri ...wapumbavu kabisa ni wadaraja la kwanza siyo la pili ...mtu anapo fikia daraja la kusema hakuna mungu hiyo ni dalili kuwa huyo mtu kaanza kupata akili kubwa Kiranga ila bado ajafikia daraja ya 3 na niwachache tu wanaoweza kuifikia daraja ya 3 au kuiona wengi wanaishia na kurudi daraja ya kwanza ya wapumbavu wanaosema mungu yupo.
Kwa nini unasema hao daraja la pili wana akili kuliko daraja ya 1
 
Mfano kwa utafiti usio rasmi wafanyakazi wa kike wanaongoza kwa excuse,magonjwa,utoro na uvivu makazini.Hili linaogopwa kuwekwa wazi wanakazi ya kusema 40%.

😀😀😀ila ki uhalisia ukipita ofisi za taasisi mbalimbali unapata kuona na kutambua 50/50 imeharibu ufanisi na delivary ya huduma ni poor na ya chini ya viwango.

Hapa ukitoa mchango kama huu wataibuka wajingawajinga wengi kuja kutetea uwozo wao kwa mgongo wa kumpendelea mwanamke na blaablaa kibao lakini ni ukweli ulio wazi taasisi nyingi zimeshuka kwa kuwaajiri hawa viumbe.

📌📌📌Chukua ofisi tatu za kutolea huduma ya aina moja. ofisi moja weka wanawake tupu,nyingine weka wanaume tupu nyingine weka mchanganyiko kwa usawa.Kisha pima ufanisi wa kazi hata kwa miaka 2 kisha mtu aje na majibu🤗🤗🤗

Taasisi ya kwanza kwa utendaji kazi bora utapata ni ile ya wanaume tupu.Yapili itakuwa ya mchanganyiko na ya tatu itakuwa ya wanawake tupu.Anayebisha aingie field.
 
Kwa nini unasema hao daraja la pili wana akili kuliko daraja ya 1
Asilimia 99% ya wanaosema Mungu yupo huwa awafikiri bali wanafuata mkumbo tu wa desturi za baba na mama zao ...bali wakianza kufikili ndiyo huja kwenye hatua ya kudhani hakuna mungu ... watu wanao sema hakuna mungu ni watu wenye kuanza kutumia akili zao kufikiri bila ya kufuata mkumbo ...ndiyo maana wanaosema mungu hayupo ni wenye akili zaidi ya wale wa daraja ya kwanza 1
 
Maybe...............................................................
 
Maybe...............................................................
Siyo maybe ...tumia akili ...nijibu kwanini waislamu ni waislamu na wakristo ni wakristo kama jibu alijakuwa ni kufuata mikumbo ya wazazi asilimia 90 ya waislamu wanaushabikia uislamu kwa kufuata dini za wazazi wao siyo kwa kutumia akili zao kupima na kuchambua mambo na hivyo hivyo kwa wakristo wanafuata wazazi wao.
 
Lakini hujanijibu wewe upo daraja lipi
 
Katika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?

Je, tatizo liko kwa watu wenye IQ kubwa au kwa jamii inayo
wapinga? Karibu mdau wa JF Tupate maoni yako!
Mi naona ni vyema kupigwa kwenye wazo lako, huduma, au hisia. Ukiona kila unachokifanya kinaenda tu bila kipingamizi jua jambo hilo halitadumu muda mrefu. Take everything to your own advantage, ukiwa na jambo lako simamanalo ata kama ni wewe tu unaliamini. Vipingamizi vinakupa wewe nafasi yakufanya marekebisho pale yanapohitajika
 
fikiria mtu wa kwanza kutoa wazo la kujenga meli kwa kutumia chuma, na sio mbao tena iliyozoeleka, au Daktari aliye toa wazo la kunawa mikono kwa maji safi ili kuzuia magonjwa mengi ya tumbo, ilihali watu wamekuwa wakiishi miaka na miaka bila kuzingatia namna usafi wa mikono, unavyoweza kuwasaidia kuepukana na MAGONJWA....

mawazo ya watu wenye IQ kubwa huwa ni KICHEKESHO kwa watu wenye akili ya kawaida....kwani huwaanza nje ya mfumo fulani walioukuta, na hivyo kuibuka na maswali ambayo ni lazima wayapatie majibu.....ndio sababu huchukua muda mrefu kidogo mawazo ya watu wenye IQ kubwa kueleweka katika jamii,..watu kama isaac Newton, nikola Tesla, Albert Einstein, ni mifano ya watu ambao baadhi ya mawazo waliyoyaacha miaka mingi iliyopita yanaishi mpaka leo, fikiria ni watu wangapi waliweza kuwaamini kwa wakati ule wao wana-propose ideas zao sasa🤔🤔
 
Nadhani ni mitazamo tu inakinzana; mtu typical mtaani kipaumbele chake kimawazo ni pesa, chakula, mavazi na mbususu wakati IQ kubwa inawaza extra mile; itahangaisha ubongo kujua mambo magumu magumu kama vile maana ya maisha yenyewe na sio kuishi tu na kadhalika na kadhalika
Hawa Watu wametwishwa mzigo wa mawazo ambayo sisi wengine hatuwazi lazima mkikutana utaanza kujihisi nyani na utamaindi
Huu ndio ukweli wote.
 
Hehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama unataka kujua mtu wa daraja ya 3 ninaweza kukupa njia dhahiri...mfano hili swali ninalo kuuliza aijalishi wewe ni mkristo au muislamu unaweza kujibu swali
💥Je una amini mwamposa ni mtume wa mungu ? 💥
Hapa kuna majibu makuu mawili nje ya jibu la 👉sijui kama ni mtume au la.......sasa nijibu hilo swali wewe kisha nitakuonyesha tofauti ya madaraja ..je unaamini mwamposa ni mtume au hauamini
1)UNA AMINI NI MTUME
2) HAUAMINI NI MTUME
 
Katika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?

Je, tatizo liko kwa watu wenye IQ kubwa au kwa jamii inayo
wapinga? Karibu mdau wa JF Tupate maoni yako!
Ignorance is bliss
 
Back
Top Bottom