Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kama serikali ya mtaa wetu,mwenyekiti na viongozi wengine wanakula hela za michango mtaani lakini jifanye kuhoji kwenye mkutano kama utaungwa mkono na wanakijiji ambao wengi ni wajinga,kila mtu hataki kuonekana mbaya.
Hahahaha! Hapo ndipo huwa nashangaa! Unaona kabisa kiongozi anacheza faulo, ukihoji anaacha kukuchukia
 
Kwaiyo hiyo IQ kubwa nayo inasubiri ajira?
Asilimia kubwa ndio, wakigundulika wanachukuliwa na wenye nchi zinazothamini baraka hizo (brain drain)
 

Attachments

  • RDT_20241122_1322515926970427651582714.png
    RDT_20241122_1322515926970427651582714.png
    1.4 MB · Views: 1
Sifahamu kwa kweli kwasababu mpaka kipimo kitumike
Iq kubwa sio kipimo broo ni day to day interaction ikiwa na wapumbavu ww ni iq ndogo sijui mtt amenda kuchezwa umo humo sijui ninunue nn jirani anione umo mtt sijui amefungwa vidude vya kumlinda umo sijui ww ndio bwana uwekew maji chooni umo
 
Philip Emeagwali (Nigeria) – Alisaidia katika kuunda technology ya supercomputers lakini mara nyingi mawazo yake yalipuuzwa mwanzoni na watu.
Njoo kwa Tshilidzi Marwala (South Africa) – Mtaalamu wa AI ambaye mara nyingi mawazo yake yalionekana kuwa ya ajabu kabla ya technology ya AI kuenea naye alipingwa sana.
Nikola Tesla mwenyewe concept zake zilipungwa na watu kama Thomas Edison na watu wengine wengi tu.

Ni viongozi wangapi wenye IQ na maono hupingwa ni wengi hasa hapa Africa
Kuna ile mwamba kabla hajawa raisi wa Bangladesh huyu. Ni father of interpreneurship kama mzee wa vyuo vya economy utamjua hao ndio wenye IQ kubwa wanatoa jamii eneo moja kihali to another usije kusema nyerere ambae alikua anangalia tv za wakoloni than anakuja kuhutubia
 
Lakini hao wanauchukuliwa ni waliofanya vitu vikaonekana ndo maana wakaonwa
Of course, na sio wote wenye bahati vipaji vyao au akili zao kujidhihirisha; utakuta Kuna mtu kazaliwa dabaga huko kwenye mashamba ya mpunga na IQ inachaji na akaishia kuwa fundi wa mashine za mpunga na mlevi wa kijiji
 
Of course, na sio wote wenye bahati vipaji vyao au akili zao kujidhihirisha; utakuta Kuna mtu kazaliwa dabaga huko kwenye mashamba ya mpunga na IQ inachaji na akaishia kuwa fundi wa mashine za mpunga na mlevi wa kijiji
Kwanini awe mlevi?
 
Sometimes ni wapuuzi. Kama wale wa kusema Mungu hayupo tuwaangalie tu?
Hakuna mtu mwenye IQ kubwa anaye weza kusema Mungu hayupo wala mwanasayansi mwenye IQ kubwa awezi kusema hakuna mungu
 
Albert Einstein sijui si anasema mungu hayupo?
Huyo hali sema mungu yupo tena alisema kwa kadili anayo vumbua sayansi zaidi ndiyo anavyo zidi kumjua mungu ....huyo mwanasayansi uliye mtaja yeye aligundua kuwa ulimwengu ume programiwa je na nani ? Ndiye huyo mungu
 
Huyo hali sema mungu yupo tena alisema kwa kadili anayo vumbua sayansi zaidi ndiyo anavyo zidi kumjua mungu ....huyo mwanasayansi uliye mtaja yeye aligundua kuwa ulimwengu ume programiwa je na nani ? Ndiye huyo mungu
Ok nasikia akamwandikia barua
 
Jambo lolote ambalo halina uhalisia au haujawahi kulifanya tegemea kupingwa. Binadamu tunaamini sana mambo tunayo yashuudia na kuyaelewa.
 
Ok nasikia akamwandikia barua
Hiyo ya barua sijui ....hila kuna shida ya watu kutambua hii siri 👉 KUNA DARAJA 3 ...utakuta watu wanarumba kuhusu mungu wengine wanasema mungu yupo na wengine wanasema mungu hayupo wale wanao sema mungu yupo wanawaona wale wanao pinga ni wapumbavu na kinyume chake ni hivyo hivyo hapa utaona daraja 2...wanao sema hakuna mungu na wanaosema yupo mungu ...hilq kuna daraja la 3 ambalo ni wachache tu walio jaliwa ndiyo ulifikia la ufahamu sasa nitafafanua hayo madaraja yote ma 3...
1) DARAJA LA 1
Ni wale wanao sema mungu yupo ila ndiyo wapumbavu kuliko wanao sema hakunq mungu
2) DARAJA LA 2
Ni wale wanaosema hakuna mungu hili daraja lina akili kuliko hao wa daraja la kwanza hapo juu ...sasa utashangaa mbona na wewe unesema watu wenye IQ kuwa awawezi kusemq hakuna mungu mbona hapa ni lugha gongana 😁 kunq daraja la mwisho ndiyo daraja la 3
3)DARAJA 3
Ndiyo wale walio pevuka wanao sema Mungu yupo ila ni tofauti na wale wapumbavu wa daraja la kwanza ambao nao wanasema hivyo hivyo kuwa mungu yupo ....hawa wa daraja la 3 ndiyo wenye IQ kubwa sana wenye akili bora sana ....hivyo mimi nikimsikiq mtu anasema mungu yupo mara nyingi namweka kwenye daraja la 1 ambalo ni wapumbavu wakubwa sana na nikisikia mtu anasema hakuna mungu namweka kwenye daraja la 2 ambalo ni lenye akili zaidi hila siyo kama daraja la 3....
Watu mara nyingi wana Tanga Tanga katika haya madaraja mawili wasiweze kuona daraja la 3 .
 
Back
Top Bottom