Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kufaulu darasani sio kuwa na IQ kubwa fuatilia kufaulu ni jitihada binafsi, mbinu na kuwekeza muda kwenye kujifunza
Sawa lkn kuna wengine hata hatuna jitihada sana lkn tunatusua tu
Aya niambie IQ kubwa ni nini
 
Kagame na museven umeona,wakibinafsisha vitu vyao sisi hadi gesi tumewapa wazungu, hadi bandari waarabu wanayo ila hao hawataki
Hawajabinafsisha na hawawezi kuziendeleza pia ndo ishara ya kuwa na IQ ndogo
 
Napenda kutembea kwa miguu,napenda mziki na football,ninasoma siku za mitihani tu! na nnafaulu, hivi hapa kesho asubuhi nina mtihani na sisomi lkn ntaenda kuunyoosha kama pasi ya Phillips.
Na tabia nyinginezo nyingi za kigenius
😂😂😂😂😂😂
Kumbe hata hujui IQ ni nn
Nenda kalime!!!
😂😂😂😂😂😂
iu
 
Sawa lkn kuna wengine hata hatuna jitihada sana lkn tunatusua tu
Aya niambie IQ kubwa ni nini
IQ haihusiani na mambo ya daraani kabisa wala sio kufanikiwa kimaisha yenyewe Ina deal na deep reasoning, problem solving, self displine na mambo mengi 90% ya IQ ya mtu ni genetically inherited 10% ndio hukuzwa na mambo kaba continuous learning, vyakula kama dagaa na samaki, puzzle na magame kama chess na mambo mengine kibao
 
We unapima na nini kama sio low IQ inakusumbua
Mtu hatakiwi kumwambia mtu mwingine ana IQ ndogo. Hamna vithibisho ni kweli Kuna wenye IQ ndogo below 120 lakini huwezi kukadiria IQ ya mtu bils wataalamu
 
Back
Top Bottom