Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
To calculate a person's IQ, take the person's mental age and divide it by their chronological age. Next, divide that number by 100.Kipimo kipi
😂Lissu is very intelligent 🧠Kweli kabisa mfano ccm vs lissu
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!To calculate a person's IQ, take the person's mental age and divide it by their chronological age. Next, divide that number by 100.
For example, if a person has a mental age of 11, and they are 9 years old, the equation will look like this: 11/9 x 100= 122. This equation shows that the person in question has an IQ of 122.
Hao wa daraja la pili ndo wapumbavu kabisaHiyo ya barua sijui ....hila kuna shida ya watu kutambua hii siri 👉 KUNA DARAJA 3 ...utakuta watu wanarumba kuhusu mungu wengine wanasema mungu yupo na wengine wanasema mungu hayupo wale wanao sema mungu yupo wanawaona wale wanao pinga ni wapumbavu na kinyume chake ni hivyo hivyo hapa utaona daraja 2...wanao sema hakuna mungu na wanaosema yupo mungu ...hilq kuna daraja la 3 ambalo ni wachache tu walio jaliwa ndiyo ulifikia la ufahamu sasa nitafafanua hayo madaraja yote ma 3...
1) DARAJA LA 1
Ni wale wanao sema mungu yupo ila ndiyo wapumbavu kuliko wanao sema hakunq mungu
2) DARAJA LA 2
Ni wale wanaosema hakuna mungu hili daraja lina akili kuliko hao wa daraja la kwanza hapo juu ...sasa utashangaa mbona na wewe unesema watu wenye IQ kuwa awawezi kusemq hakuna mungu mbona hapa ni lugha gongana 😁 kunq daraja la mwisho ndiyo daraja la 3
3)DARAJA 3
Ndiyo wale walio pevuka wanao sema Mungu yupo ila ni tofauti na wale wapumbavu wa daraja la kwanza ambao nao wanasema hivyo hivyo kuwa mungu yupo ....hawa wa daraja la 3 ndiyo wenye IQ kubwa sana wenye akili bora sana ....hivyo mimi nikimsikiq mtu anasema mungu yupo mara nyingi namweka kwenye daraja la 1 ambalo ni wapumbavu wakubwa sana na nikisikia mtu anasema hakuna mungu namweka kwenye daraja la 2 ambalo ni lenye akili zaidi hila siyo kama daraja la 3....
Watu mara nyingi wana Tanga Tanga katika hata madaraja mawili wasiweze kuona daraja la 3 .
Soma tena nilicho andika vizuri ...wapumbavu kabisa ni wadaraja la kwanza siyo la pili ...mtu anapo fikia daraja la kusema hakuna mungu hiyo ni dalili kuwa huyo mtu kaanza kupata akili kubwa Kiranga ila bado ajafikia daraja ya 3 na niwachache tu wanaoweza kuifikia daraja ya 3 au kuiona wengi wanaishia daraja la 2 na kurudi daraja ya kwanza ya wapumbavu wanaosema mungu yupo.Hao wa daraja la pili ndo wapumbavu kabisa
Anyway,wewe uko daraja gani
Kwa nini unasema hao daraja la pili wana akili kuliko daraja ya 1Soma tena nilicho andika vizuri ...wapumbavu kabisa ni wadaraja la kwanza siyo la pili ...mtu anapo fikia daraja la kusema hakuna mungu hiyo ni dalili kuwa huyo mtu kaanza kupata akili kubwa Kiranga ila bado ajafikia daraja ya 3 na niwachache tu wanaoweza kuifikia daraja ya 3 au kuiona wengi wanaishia na kurudi daraja ya kwanza ya wapumbavu wanaosema mungu yupo.
Asilimia 99% ya wanaosema Mungu yupo huwa awafikiri bali wanafuata mkumbo tu wa desturi za baba na mama zao ...bali wakianza kufikili ndiyo huja kwenye hatua ya kudhani hakuna mungu ... watu wanao sema hakuna mungu ni watu wenye kuanza kutumia akili zao kufikiri bila ya kufuata mkumbo ...ndiyo maana wanaosema mungu hayupo ni wenye akili zaidi ya wale wa daraja ya kwanza 1Kwa nini unasema hao daraja la pili wana akili kuliko daraja ya 1
Maybe...............................................................Asilimia 99% ya wanaosema Mungu yupo huwa awafikiri bali wanafuata mkumbo tu wa desturi za baba na mama zao ...bali wakianza kufikili ndiyo huja kwenye hatua ya kudhani hakuna mungu ... watu wanao sema hakuna mungu ni watu wenye kuanza kutumia akili zao kufikiri bila ya kufuata mkumbo ...ndiyo maana wanaosema mungu hayupo ni wenye akili zaidi ya wale wa daraja ya kwanza 1
Siyo maybe ...tumia akili ...nijibu kwanini waislamu ni waislamu na wakristo ni wakristo kama jibu alijakuwa ni kufuata mikumbo ya wazazi asilimia 90 ya waislamu wanaushabikia uislamu kwa kufuata dini za wazazi wao siyo kwa kutumia akili zao kupima na kuchambua mambo na hivyo hivyo kwa wakristo wanafuata wazazi wao.Maybe...............................................................
Lakini hujanijibu wewe upo daraja lipiSiyo maybe ...tumia akili ...nijibu kwanini waislamu ni waislamu na wakristo ni wakristo kama jibu alijakuwa ni kufuata mikumbo ya wazazi asilimia 90 ya waislamu wanaushabikia uislamu kwa kufuata dini za wazazi wao siyo kwa kutumia akili zao kupima na kuchambua mambo na hivyo hivyo kwa wakristo wanafuata wazazi wao.
Daraja ya 3Lakini hujanijibu wewe upo daraja lipi
Hehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Daraja ya 3
Mi naona ni vyema kupigwa kwenye wazo lako, huduma, au hisia. Ukiona kila unachokifanya kinaenda tu bila kipingamizi jua jambo hilo halitadumu muda mrefu. Take everything to your own advantage, ukiwa na jambo lako simamanalo ata kama ni wewe tu unaliamini. Vipingamizi vinakupa wewe nafasi yakufanya marekebisho pale yanapohitajikaKatika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?
Je, tatizo liko kwa watu wenye IQ kubwa au kwa jamii inayo
wapinga? Karibu mdau wa JF Tupate maoni yako!
Huu ndio ukweli wote.Nadhani ni mitazamo tu inakinzana; mtu typical mtaani kipaumbele chake kimawazo ni pesa, chakula, mavazi na mbususu wakati IQ kubwa inawaza extra mile; itahangaisha ubongo kujua mambo magumu magumu kama vile maana ya maisha yenyewe na sio kuishi tu na kadhalika na kadhalika
Hawa Watu wametwishwa mzigo wa mawazo ambayo sisi wengine hatuwazi lazima mkikutana utaanza kujihisi nyani na utamaindi
Kama unataka kujua mtu wa daraja ya 3 ninaweza kukupa njia dhahiri...mfano hili swali ninalo kuuliza aijalishi wewe ni mkristo au muislamu unaweza kujibu swaliHehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ignorance is blissKatika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?
Je, tatizo liko kwa watu wenye IQ kubwa au kwa jamii inayo
wapinga? Karibu mdau wa JF Tupate maoni yako!