Kwanini watu huwa tunasubiri catastrophe ndo tuanze kuishi?

Mto wa mmbu pazuri sana , pana mazingira mazuri, na pia kilimo kinakubali
Ila mbu ndo usiseme sasa, alaf kuna ******* wanakaba usiku, nilisha hawhi kula bapa za mapanga na wahuni sitasahau.

Uswazi sasa, ndo hakupoi sehemu za kupiga vitu kila chocho
 
Mwisho wa siku kufa utakufa tu, hata ukumbuke au usikumbuke utakufa tu
 
Wewe binafsi unaweza kuwa na majibu mazuri.
Kwanini ulikuwa unatafuta cheap popularity wakati kulikuwa na uwezekano wa kuwa popular kwa heshima kupitia mabandiko yenye maudhui fikirishi na yenye kuisaidia jamii?
 
Ila mbu ndo usiseme sasa, alaf kuna ******* wanakaba usiku, nilisha hawhi kula bapa za mapanga na wahuni sitasahau.

Uswazi sasa, ndo hakupoi sehemu za kupiga vitu kila chocho
Hahah sijawahi kuishi napita tu, na miaka fulani niliwahi Lima kitunguu kule chini matindigani
 
Hakika mkuu ukisha jua kuwa all these things are meaningless, ndo unaanza kuona insanity ya mwanadamu na namna wa navyo Ogopa kuishi... Lakini hata wewe ambaye umepatwa na catastrophe unaweza usitambue kwa nini umewaza hivyo na wengine wanaishi maisha ya kuigiza
 
Hahah sijawahi kuishi napita tu, na miaka fulani niliwahi Lima kitunguu kule chini matindigani
Sitasahau wanangu mitaa hiyo walikuwa wanapiga mpepe (cha Arusha) vibaya mpaka mtu anaanza kucheka cheka bila sababu za msingi kumbe kasha kuwa high!

Nashukuru Mungu siku jikuta kwenye kileo cha aina yoyote.. 😂

But nilipenda sana ile culture wanakisawahili flani hivi kama Wakenya... Na pisi kali ila kitandani zero
 
Kwani pisi kitandani inatakiwa iwe ngap😁
 
Wewe binafsi unaweza kuwa na majibu mazuri.
Kwanini ulikuwa unatafuta cheap popularity wakati kulikuwa na uwezekano wa kuwa popular kwa heshima kupitia mabandiko yenye maudhui fikirishi na yenye kuisaidia jamii?
Ilikuwa ni phase tu nayo imepita, sasa itaenjoy good and eganging posts kutoka kwangu
 
Kwani pisi kitandani inatakiwa iwe ngap😁
Yaani mimi huwa naomba Mungu nipate pisi yenye housing ya wadada wa chuga ila kitandani awe kama mnayturu, au wadada wa lindi au mtwara... Hapo nafunga ledger 📒 kabisa bwashee
 
Yaani mimi huwa naomba Mungu nipate pisi yenye housing ya wadada wa chuga ila kitandani awe kama mnayturu, au wadada wa lindi au mtwara... Hapo nafunga ledger 📒 kabisa bwashee
Sawa sawa😁
 
Umeenda kanisani?
Au ulienda sabato?
Au msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…