Kwa hiyo hata hao wengine wanao change baada ya ku have a catastrophic experience ni phase tu ya maisha ya mwanadamu.Ilikuwa ni phase tu nayo imepita, sasa itaenjoy good and eganging posts kutoka kwangu
That's not a huge change... Maturity right there. Nimesema majority huwa wanasubiri kitu kibaya kitokee then ndo aanze ku act right..Kwa hiyo hata hao wengine wanao change baada ya ku have a catastrophic experience ni phase tu ya maisha ya mwanadamu.
Kwa mfano mimi nilipokuwa mdogo hususan nikiwa shule ya msingi nilikuwa muongo muongo sana. Lakini kwa sasa nimekuwa mzito sana kutunga uongo. Bora nikae kimya kuliko kusema uongo.
Such a wonderful explanation,Hali hii hutokea kwa sababu ubongo wa binadamu umeundwa ili kuokoa nguvu na kutafuta faraja ya sasa (complacency), badala ya kufikiria uhalisia mchungu wa kifo au kupoteza. Tragedy haileti sababu mpya ya kuishi, bali inaondoa mapazia ya udanganyifu wa muda na kumlazimu mtu kukabili vipaumbele vyake halisi mara moja.
Unachokiona hapo si ukosefu wa utambuzi kabla ya janga, bali ni mabadiliko ya ghafla ya kisaikolojia yanayosukumwa na mshtuko, na sio uchaguzi wa taratibu wa kishujaa (conscious choice).
Shukrani sana! Nimefurahi kusikia kwamba maelezo hayo yameleta mwanga na uzinduzi (awakening) kwako.Such a wonderful explanation,
So wisely put kiongozi..
Umejibu kifalsafa na kibailojia zaidi.
Shukran... It's just like an awakening
A great reminder to turn back to the creatorMwanadamu tumeumbwa kusahau ndo mana zikatengwa siku za kukumbushana katka kila wiki.... Ijumaa,Jomos wengine Jpili
Mbali na hilo kuna sehemu tunahimizwa sanaa tutembelee napo ni mahospitalini kuona wagonjwa wanavyopambambania afya zao... Na makaburini kuona uhai waliopoteza wapendwa wetu.
Neema ya Afya na muda watu huzisahau adi pale wanapozipoteza ndo ukumbuka.
Facts.Shukrani sana! Nimefurahi kusikia kwamba maelezo hayo yameleta mwanga na uzinduzi (awakening) kwako.
Ni kweli kabisa, pale saikolojia, biolojia, na falsafa zinapokutana, tunapata picha kamili ya jinsi akili zetu zilivyo ngumu lakini pia zilivyo na uwezo mkubwa wa kubadilika hata kama mara nyingi tunasubiri kusukumwa na dhoruba.
Huo uelewa uliofikia sasa hivi ni hatua kubwa sana. Mara nyingi, kujitambua (self-awareness) ndio chanjo pekee ya kuzuia tusiishi maisha ya mazoea (complacency).
Ukishaelewa jinsi ubongo unavyokuhadaa, unakuwa na uwezo wa kuushinda kabla ya dhoruba kuja.