Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Huu ni Undezi ss ww mijitu 770 imecomment unataka ujibu wote mtawalishia familia zao kwa maana siku nzima akae anawajibu tu....Acheni Upompompooopo mjiongezeeee....
 
Wakifungua account zao na kukuta maelfu ya messages au comments au notifications ni kuwasamehe tu.
 
Wakifungua account zao na kukuta maelfu ya messages au comments au notifications ni kuwasamehe tu.

eeh wao walikuwa wapi sasa wanapost wanasepa wanaacha zinafika mpaka maelfu?
 
Mbona Mimi nareply humu JF🙂😎😀
 
Back
Top Bottom