Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Wamelala xn...subiri mm niwe star nitawaonesha jinsi ya kutumia fursa !!!!! Yaan ntakuwa nikianzisha thread au nikicomment naweka na tangazo mfano picha

najua ukiwa star nawe utakuwa kama wao...unaweka post then unapita hivi
 
Ni nyingi sana kiasi kwamba inatia uvivu kuzijibu. Kuna mshabiki wa Eminem mpaka akaamua kuchukua hatua ya kujiua kisa Eminen alikuwa hajibu, kumbe zilikuwa nyingi hakuziona zake....

daa huyo jamaa aliyejiua alikuwa desperate sana akisubiri ajibiwe comment
 
Subiri utaona km VP waniuzie ID zao nianze kazi

haha sasa ww unataka ustar wa zali la mentali,,nakuambia ukipata ustar kwa hustle zako utakuwa kama wao tu,unatoa post au link ya video yako,then unawaachia kazi mashabiki wapigane
 
haha sasa ww unataka ustar wa zali la mentali,,nakuambia ukipata ustar kwa hustle zako utakuwa kama wao tu,unatoa post au link ya video yako,then unawaachia kazi mashabiki wapigane
Sawa utaona...napanda chat taratibu Jana asubuhi tu nilikuwa na "like" 28 hebu kaangalie profile langu uone...nnavyokuja speed
 
KUNA MASHABIKI NA MASHABIKI MAANDAZI NA KUNA MAMBO YA KUJIBU WENGINE MAGUMASH TU
 
Labda kuna shida ya ufahamu juu ya kujibu au kuchangia mambo.lkn ni vizuri wakajibu na kuchangia kwan hapo pia tunawapima uwezo walionao ktk jamii na hata kuitangaza nchi yao ugaibuni!mastaa mclale jamani uwanja u wazi.
 
Jamaa alikuwa anamuhusudu mpaka alijichora tatoo mwili mzima za Eminen..

hata lady gaga nilishawah sikia anamafans waliomzigia kiasi cha hata kukubali kulala nje ya nyuma yake
 
Labda kuna shida ya ufahamu juu ya kujibu au kuchangia mambo.lkn ni vizuri wakajibu na kuchangia kwan hapo pia tunawapima uwezo walionao ktk jamii na hata kuitangaza nchi yao ugaibuni!mastaa mclale jamani uwanja u wazi.

i hope watakuwa wamekuelewa,,tatizo la mastaa ni kulewa sifa
 
Back
Top Bottom