Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

NA mastaa Wa JF vp wanareply km bwana mashati makubwa(Le Mutuz) ???...Tuanzie kwanza Wa humuhumu
 
NA mastaa Wa JF vp wanareply km bwana mashati makubwa(Le Mutuz) ???...Tuanzie kwanza Wa humuhumu

haha,,,ustaa ni ustaa tu,,kumbe hata wa jf hawareply pia?
 
-Wanachosema kwamba hawajibu ili kutokujenga ukaribu na fans zao hii inawasaidia endapo wakitangaza show wanapata wateja wengi,kitendo cha kujibu jibu reply za fans zinawashushia hadhi ya uselebu hivyo kuonekana cheap(not expensive) na ndio maana utaona baadhi ya master kama kina beyonce hawa-follow hata mtu mmoja yaani hata jay-z hamfollow hapo ndio utapata picha akili za hawa mastar kwamba hazifanyi kazi.
 
-Wanachosema kwamba hawajibu ili kutokujenga ukaribu na fans zao hii inawasaidia endapo wakitangaza show wanapata wateja wengi,kitendo cha kujibu jibu reply za fans zinawashushia hadhi ya uselebu hivyo kuonekana cheap(not expensive) na ndio maana utaona baadhi ya master kama kina beyonce hawana hata follower hata mmoja yaana hata jay-z hamfollow hapo ndio utapata picha akili za hawa mastar kwamba hazifanyi kazi.

Daah kumbe ndio inakuwa hivyo brother.....vp kuhusu message ambayo ipo private yeye na fan wake? hilo pia hawajibu?
 
Kwasababu ya kuwa salama na acc zao mara nyingi ni mitego ya wale wataalam wa IT,tendo la kumjibu au kumfollow au kumcheki inaweza ikawa ndio umeshaiuza acc yako bila malipo wala makubaliano.
 
Kwani hujui japo tuna ID feki lkn humu pia kuna watu washaupata ustar
Ustar ni ustar tu ht km nyota 1

Ustar ambao ni public figure ndio nadhani kwamba ni professional kidogo
 
Kwasababu ya kuwa salama na acc zao mara nyingi ni mitego ya wale wataalam wa IT,tendo la kumjibu au kumfollow au kumcheki inaweza ikawa ndio umeshaiuza acc yako bila malipo wala makubaliano.

okay,,maana hackers sikuhizi wapo macho kweli
 
Daah kumbe ndio inakuwa hivyo brother.....vp kuhusu message ambayo ipo private yeye na fan wake? hilo pia hawajibu?
Inategemea na sms unayomuandikia kama ya deal atajibu kama ya kiwaki(Wack sms) anaipotezea.
 
So na ID za mastaa wetu wa JF ...zinaweza ibiwa ?
 
Mbona mie nilim-inbox Young Killer na akajibu, au Young sio celeb?
 
Mbona mie nilim-inbox Young Killer na akajibu, au Young sio celeb?

Young killer nae ni celebrity as well....ila nilikuwa nauliza kama comments za fans wake huwa anazijibu ? unaweza kuta kajibu text kwa sababu text is very private
 
Back
Top Bottom