Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Ht ustar Wa JF una faida pia km mtu ni mjanja...ngoja Mimi nifikishe likes 1000 nianze kupitisha matangazo ya biashara
 
Ht ustar Wa JF una faida pia km mtu ni mjanja...ngoja Mimi nifikishe likes 1000 nianze kupitisha matangazo ya biashara

cikujua hilo,,ukiwa star wa jf utakuwa unapitisha matangazo? au unapata faida gan nyingine?
 
Attachments

  • 1453710533556.jpg
    1453710533556.jpg
    20.2 KB · Views: 21

huyu si celeb wa JF pekee?
 
cikujua hilo,,ukiwa star wa jf utakuwa unapitisha matangazo? au unapata faida gan nyingine?
Wamelala xn...subiri mm niwe star nitawaonesha jinsi ya kutumia fursa !!!!! Yaan ntakuwa nikianzisha thread au nikicomment naweka na tangazo mfano picha
 
Bongo hakuna celebrities ..... kuna waganga njaa na wauza k*****!
 
Ni nyingi sana kiasi kwamba inatia uvivu kuzijibu. Kuna mshabiki wa Eminem mpaka akaamua kuchukua hatua ya kujiua kisa Eminen alikuwa hajibu, kumbe zilikuwa nyingi hakuziona zake....
 
Hana kazi, aanze kupitia comments 2000?

kuna zile top comments ambazo fan anakuwa ameandika point ya maana kweli na hiyo comment imepata hata likes 200,,kwa nn hasizireply hizo?
 
Back
Top Bottom