Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una TV kwenu?hahaha,,,una hakika ww ni celebrity,,,,au ni chipukizi tu?
u mean G.nako? ila huyo cjawah mjaribu.... kakujibu text ya inbox au comment ya public?
Hana kazi, aanze kupitia comments 2000?kwani anashindwa kuwareply hata wale ambao wanaandika vitu vya maana?
hii tabia anayo sana ZARI. Hata message zangu huwa hajibu
Wamelala xn...subiri mm niwe star nitawaonesha jinsi ya kutumia fursa !!!!! Yaan ntakuwa nikianzisha thread au nikicomment naweka na tangazo mfano pichacikujua hilo,,ukiwa star wa jf utakuwa unapitisha matangazo? au unapata faida gan nyingine?
Wema namheshimu sanamponde wema then mmention zari kwakumpa misifa anareply faster hutaamin
Inakuaje una TV halafu mimi hunijui?ninayo,,,kwan ww unaonekanaga kwenye channel gani?
Nash Mc zuzu anajibu.bongo wapo bana,si ndio hao top artists na bongo movies,lakini pia hawajibu,,labda edo kumwembe kidogo