Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

KUNA MASHABIKI NA MASHABIKI MAANDAZI NA KUNA MAMBO YA KUJIBU WENGINE MAGUMASH TU

sasa naongelea kwa zile comments zenye maana au maswali mazuri hayajibiwi,,yaani celeb anatoa post au picha au anaweka link halaf anapita hivi anawaacha mashabiki wanaendelea kugombana
 
really kwa tyresse? ngoja nimlike niwe naccoment vitu vya maana nione

kwa mark zuckerberg anatakiwa ajibu sababu yy ndio baba wa facebook
Mara kibao anajibu comments za ma followers wake. Hata mini alishawahi kunijibu, nilimuuliza kama ana plan ya kutembelea Tanzania?
Akajibuu oooh Kilimanjaro & zanzibar..definetly i will visit but not soon.
 
daah basi jama atakuwa social sana anajibu watu bila kujali nani ni nani,,,ntajaribu kucomment kwake often
 
hata lady gaga nilishawah sikia anamafans waliomzigia kiasi cha hata kukubali kulala nje ya nyuma yake

Nyimbo ya Eminen inaitwa Stan... isikilize inamuelezea huyo fan...
 
Kama unataka ujibiwe pita uwatukane kwenye page zao. kila siku we tukana tu
asubuhi mpaka jioni tukana
 
Back
Top Bottom