Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hello 👋

Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae.

Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua hapo. Haijalishi aliyependwa yupo vipi

Mifano:
Jason momoa kazidiwa umri wa 18yrs na mkewe Lisa Bonet. Mama yake muigizaji Zoë Kravitz
images (32).jpeg


Muizaji wa Avangers Aaron taylor johnson kazidiwa umri wa miaka 24 na mkewe Samantha taylor
Hapo ni alivyokua ana 18yrs mkewe 40s. Sasa hivi Aaron ana 31yrs
images (33).jpeg


Nick jonas anazidiwa umri wa miaka 10 na mkewe Priyanka chopra
celebrities-married-to-older-women07.jpg


Prince Harry kazidiwa 4 years na meghan markle
celebrities-married-to-older-women04.jpg

Shakira kamzidi Pique miaka 10
images (34).jpeg


Kuna tofauti ya mika 9 kati yao
images (35).jpeg
 
Back
Top Bottom