ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Huyu kiazi sijui kama ataacha mtoto hapa duniani....Mpaka sasa Bwana Emma anashikilia usukani. 25 yrs kazidiwa na mkeweView attachment 2052771
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kiazi sijui kama ataacha mtoto hapa duniani....Mpaka sasa Bwana Emma anashikilia usukani. 25 yrs kazidiwa na mkeweView attachment 2052771
Sema wenzetu hawaangalii suala la mke kupata watoto jmn kibongobongo ndoa ni watoto ndo maana kuna age Ke Akifika hana mtoto anachanganyikiwa kabisa na makejeli kibao xo kuoa mwanamke alokuzidi usiwaze sana kuhusu watoto maana sisi Tuna expire date mayai yakivilia ndo basi tena afu uwe kapuku ndo patamu maana wenye hela hata kwa kupandikiza kama Janeth Jackson unapataKwa mawazo yangu wanaangalia heshima nyumbani sio wakujirusha muda wote,hata wanaume tunapndwa kubembelezwa bahana sasa ukioa kama mobeto,nandi,siutakuwa unajiweka roho juu?😳😳😳
anaekula raha hapo ni pique tu, kitu shakira haizeeki miaka mia, ni type ya kina beyoncee hao.Hello 👋
Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae.
Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua hapo. Haijalishi aliyependwa yupo vipi
Mifano:
Jason momoa kazidiwa umri wa 18yrs na mkewe Lisa Bonet. Mama yake muigizaji Zoë Kravitz
View attachment 2052754
Muizaji wa Avangers Aaron taylor johnson kazidiwa umri wa miaka 24 na mkewe Samantha taylor
Hapo ni alivyokua ana 18yrs mkewe 40s. Sasa hivi Aaron ana 31yrs
View attachment 2052756
Nick jonas anazidiwa umri wa miaka 10 na mkewe Priyanka chopraView attachment 2052761
Prince Harry kazidiwa 4 years na meghan markleView attachment 2052763
Shakira kamzidi Pique miaka 10View attachment 2052767
Kuna tofauti ya mika 9 kati yao
View attachment 2052769
Masharti ya illuminatHello [emoji112]

Bwana Imma atakuwa alidanganywa na waganga wa kienyeji wa hapo ParisMpaka sasa Bwana Emma anashikilia usukani. 25 yrs kazidiwa na mkeweView attachment 2052771
Hongera Ila usifanye hivyo tena mpende Sana utaishi maisha mazuri SanaMwanamke wangu amenizidi miaka 3.
nikianza kumkoromea utasema mtoto anavyonywea[emoji16][emoji16]
Hiyo inaaply kwa men,The Older the Wine, The sweeter it becomes Pia Beauty lies in the eyes of beholder
Hii ndo point ya muhimuWanafahamu nini Unahitaji na namna ya kukufanya uwe Mwenye Mafanikio.
Uyu kijana atakuaga alpokua mdogo alkua anamchungulia Sana mwalim wake akiinama[emoji2]Macron ananiachaga hoi ,mwl wake....kazi na dawa
Uyu jamaa nadhan kwenye uchaguzi wanwake wore walimpigia kura.Ila huyu Macron nyau kweli [emoji16][emoji16][emoji16]