Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hello πŸ‘‹

Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae.

Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua hapo. Haijalishi aliyependwa yupo vipi

Mifano:
Jason momoa kazidiwa umri wa 18yrs na mkewe Lisa Bonet. Mama yake muigizaji ZoΓ« Kravitz


Muizaji wa Avangers Aaron taylor johnson kazidiwa umri wa miaka 24 na mkewe Samantha taylor
Hapo ni alivyokua ana 18yrs mkewe 40s. Sasa hivi Aaron ana 31yrs


Nick jonas anazidiwa umri wa miaka 10 na mkewe Priyanka chopra

Prince Harry kazidiwa 4 years na meghan markle
Shakira kamzidi Pique miaka 10

Kuna tofauti ya mika 9 kati yao
 
Kwa mawazo yangu wanaangalia heshima nyumbani sio wakujirusha muda wote, hata wanaume tunapndwa kubembelezwa bahana sasa ukioa kama mobeto, nandi, siutakuwa unajiweka roho juu?😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…