Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Kwa mawazo yangu wanaangalia heshima nyumbani sio wakujirusha muda wote,hata wanaume tunapndwa kubembelezwa bahana sasa ukioa kama mobeto,nandi,siutakuwa unajiweka roho juu?😳😳😳
Sema wenzetu hawaangalii suala la mke kupata watoto jmn kibongobongo ndoa ni watoto ndo maana kuna age Ke Akifika hana mtoto anachanganyikiwa kabisa na makejeli kibao xo kuoa mwanamke alokuzidi usiwaze sana kuhusu watoto maana sisi Tuna expire date mayai yakivilia ndo basi tena afu uwe kapuku ndo patamu maana wenye hela hata kwa kupandikiza kama Janeth Jackson unapata
 
watu wazima wanajua wewe yaani unakua huru sasa hivi vikina mwajuma ndala ndefu vinamasharti kibao, Mimi hapa namkula mama mwenye nyumba burudani yaani nikipiga kimoja yeye kaenda kibo Mara 3 kipengere ninachopenda ni pale nacheza na g spot kwa kidole cha Kati mama wa watu kanizidi miaka 19 au 20 basi ana squirt mpaka namuonea huruma anavyoloanisha godoro🤤🤤
 
Hii mada imekua na positive vibe sababu wahusika wengi walioletwa ni 'Wazungu', mada hii hii ingeletwa kwa mifano ya wahusika wa bongo pangechimbika hapa, wangeitwa kila aina ya majina, lol


Back to topic, nadhani ni choices, ones prefer olders ones prefer youngers, ones prefer age mates, ones don't have a preference, popote kambi tu (huyu ni mimi,[emoji1])
 
anaekula raha hapo ni pique tu, kitu shakira haizeeki miaka mia, ni type ya kina beyoncee hao.
 
Masharti ya illuminat
 
Ila priyanka huyo mtoto dah long time namuelewa.. Sema wadada wakubwa hawana mambo mengi nadhani kuna stage flani za ushamba wamezivuka sasa wanaume wanaotaka kutulia na lufocus na mambo ya maana wanachukua hao. Hivi vi digidigi aaah pasua kichwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…