Kwanini watu wa Arusha, Njombe, Iringa na Kilimanjaro wanafanikiwa sana kibiashara?

Kwanini watu wa Arusha, Njombe, Iringa na Kilimanjaro wanafanikiwa sana kibiashara?

Naona mnabishana bila sababu hivi MTU nimekulia shida nitokako kuna shida sana ya uchumi nikiingia sehemu penye ahueni nitakuwa adui wa anasa zote,nitakuwa na nidhamu ya fedha ili nisirudi niliko toka.MTU unapata kwa siku elfu kumi.unataka utumie 8000 elfu mbili una tunza na wakati mwenzio akipata elfu kumi anatumia 1000.je mtakuwa sasa?
Nafikiri kinachowasaidia wale jamaa wanatoka porini sana tena kwenye shida mtupu nfio maana hawajui bilicanas ya mbowe iliko
7c0c1dcc1081c57b60e352670dbd23ce.jpg
88035abbdff71bbffd92cb30452ce542.jpg
 
Habari wanajamvi,

Kwanini waotokea mikoa ya Arusha, Njombe, Iringa, Kilimanjaro wanakuwa fiti kifedha na kibiashara hata kama ni vijana wa umri mdogo?

Natumai nitapata majibu ya kuridhisha.
Miungo yao(matambiko na mizimu) inawasaidia sana ukipenda katambike na wewe.
BIBLIA: USITAMANI MALI YA MTU MAANA HUJUI KAIPATAJE..!
 
Wa mbeya na iringa ni wakandalasi wa kutumia madawa na uchawi haswaaa na makafara kibao hao wengi washika bunduki na mitutu wazee wa timing ukilala wanapita na wewe na siri nyingine ni wabahili kama nn (ndo mnavyosema)
 
Ni watu wanaopenda kujituma NA ni wachapa kazi vizuri sana. Ila sasa wameingiliwa NA wanasiasa NA wameanza kujisahau
 
Mwenye kuitaji utajiri wa chap chapa kwa gharama Ndogo aje inbox
 
Shida siku zote ni kutunza pesa na kufanya iongezeke, ndio tofauti ya tajiri na maskini
 
Sina uhakika kama ni wote wapo hivyo au laa ila kufanikiwa kwa mtu katika kitu chochote kile ni juhudi zake katika hilo jambo, na usione mtu kafanikiwa ukadhani huko nyuma kabla ya mafanikio alipita vizur kuna kufeli pia kwenye biashara
 
Nahisi wakizaliwa cha kwanza wanaambiwaga "UKOO wetu unaitwa ATM sasa chakarika usije tutia aibu ya mwaka tukaitwa walala hoi kwa upuuzi wako wa kutokuparangania pesa"
 
Fika k\koo utasikia mangi, sanga, MBILINYI, msigwa , kyando ndio wanaosumbua mjini au Mohammed,
Mbilinyi et al ni wakinga.

Makambako ni mji mkubwa kibiashara,wakinga wamejaaa lakini ukimpata mchaga anafanya biashara makambako njoo nikupe zawadi...........na kiufupi mchaga ni mwizi na mkinga ni mfanya biashara mkubwa anatumia kila njia afanikishe utajiri wake. Wakati mwingine wanakwambia mtoto mmoja analisha wenzake wanne.
 
Back
Top Bottom