Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa una wazimu wewe,.. una ushahidi? kwanini usiende mahakamani unabaki kuongea maneno machafu?Wachagga Ni Wezi Na Wadhulumati Hata Wenyewe Wanajua. Wakinga Wanatusua Kwasababu Walikuwaga Wamewekeza Kwenye Miti, Walivyouza Ndo Wakaboom.
Ni keli jibu ni wanagenetic ya fursa kabla hawajafundishwa.wazungu ni born to see opportunity bt africa is wachache sna ambao ni wachaga na n.k .mtu anasubiri aende shule kwnza ndo afanye biashara ila chaga wapo teari pale wanapo zaliwa wanajua biasharaHabari wanajamvi,
Kwanini waotokea mikoa ya Arusha, Njombe, Iringa, Kilimanjaro wanakuwa fiti kifedha na kibiashara hata kama ni vijana wa umri mdogo?
Natumai nitapata majibu ya kuridhisha.
Ukweli UnaumaUtakuwa una wazimu wewe,.. una ushahidi? kwanini usiende mahakamani unabaki kuongea maneno machafu?
Sasa kuna ukweli gani hapo? Jaribu kuwaza logically kama ni sahihi kufanya generalization kwa watu wa jamii nzima na unawaita wezi kitu ambacho si sahihi...Ukweli Unauma
Big Brother AfricaKwavile wamesoma BBA
Kwanza Hao Wachagga Wengi Ni Machinga, Mtu Anaanzisha Kiduka, Bar Au Glocery Mtaani Naye Anajiona Bonge La Mfanyabiashara HatulalPesa za wakinga waliowengi na hata baadhi ya wachaga si pesa,nyingi ni za kishetani na makafara.
Nilishangaa sana nikiwa chuoni dogo mmoja rafiki yangu wa kichaga(mrombo) baba yake ni tajiri mkubwa hapo kariakoo ananiambia baba yake amemwambia ukweli kwamba ajitahidi kusoma pindi mzee wake akiwa hai kwani siku atakapokufa mali zake ataondoka nazo na hazitowasaidia kitu.
Kaka yake alishawahi kumwibia mzee wake zaidi ya 50milion akaanzisha biashara zake lakini mwisho wa siku alifirisika akawa na madeni ambayo mwisho wa siku kwa huruma alimlipia mzee wake.Jibu hapa ni kwamba nje ya muhusika pesa ya mzee huwezi fanyia chochote cha maendeleo zaidi ya anasa.
Hata hivyo bado nakubali kwamba wapo makabila tajwa wamepiga hatua kubwa kwa juhudi na maarifa binafsi.
Kuna sir kubwa sana nyuma ya pazia ya matajiri wengi nchini.
Sure man,ndivyo ilivyo.mhh kwel matajili wa njombe wote 25+years
Kwanini mkuu?.Usiwaamini sana hawa wakinga ktk hustling........
Teh!teh!teh!....!!,na wewe anza kula dog upate mafanikio.Hao wa Iringa ni wanafanikiwa kibiashara kwasababu wanakula mbwa.
Kweli mkuu.Wana bidii ya kazi na NIDHAMU ya matumizi. Wenye fikra fupi huita UBAHILI. Ni wepesi pia wa kutumia FURSA zinapojitokeza, hawachagui kazi wala mahali pa kuishi.
Kwa nini ?Usiwaamini sana hawa wakinga ktk hustling........
FactWana bidii ya kazi na NIDHAMU ya matumizi. Wenye fikra fupi huita UBAHILI. Ni wepesi pia wa kutumia FURSA zinapojitokeza, hawachagui kazi wala mahali pa kuishi.