Kwanini watu wa Arusha, Njombe, Iringa na Kilimanjaro wanafanikiwa sana kibiashara?

Kwanini watu wa Arusha, Njombe, Iringa na Kilimanjaro wanafanikiwa sana kibiashara?

Mchaga ikijichanganya kwenye biashara makambako lazima akimbie kwa hiari
 
utajiri ni kumiliki kiasi gani kwani wanaweza kuwa wasukuma ndio matajiri
Utajiri ni kuwa assets nyingi/ eg building, land/ investment kibao eg enterprises, shops, vehicles
 
Kwa ARUSHA NA KILIMANJARO, sababu ni hizi:-


1) Hawana asili ya uchawi kama wa kutumia Nyau, Vifuu, Majini n.k

Labda wauziwe na wale wa kule...


2) Hawana wivu wa kisoro


3) Hawawazi Ngono tu na kuongeza idadi ya watoto muda woote.


4) Wanajali Elimu na Juhudi.


HUO NDIO UKWELI.
 
Ttzo la mtz unaposemwa ukweli utamjua tuu na wengi wanaopinga ni wale wa hapahapa dam. Asili yao ubishi.
 
Ttzo la mtz unaposemwa ukweli utamjua tuu na wengi wanaopinga ni wale wa hapahapa dam. Asili yao ubishi.
Arusha punguzeni kula
36933fa4ecffd7ef17d159886e82a10a.jpg
 
Hivi wale waganga wakuunganisha na freemason wameshaleta/wamezalosha matajiri wangapi mpaka sasa?
 
Habari wanajamvi,

Kwanini waotokea mikoa ya Arusha, Njombe, Iringa, Kilimanjaro wanakuwa fiti kifedha na kibiashara hata kama ni vijana wa umri mdogo?

Natumai nitapata majibu ya kuridhisha.
Halafu huko kote wanaipenda CHADEMA ! Je ni coincidence? Just thinking aloud !
 
Don't hate me,
hate the money you see,
clothes I buy,
ice I wear,
clothes I try,
picture me rollin Sixer's
money foldin bitches,

Nadhani umeridhika na majibu yangu.
Teh teh teh teh teh....
Sijui nitaacha lini kula ngada.
 
Greedy for money! Ndo mana mchaga yupo radhi afanye hata kazi ya kuzibua chemba za mav* kwa ujira wa milioni tatu kwa mwezi afu wakati huo huo mhaya yupo tayari kulipwa hata laki tatu kwa mwezi ili mradi tu aitwe general manager
 
wanakotokea kuna baridi sana hivyo wakifika miji yenye joto huwafanya kuamka mapema kwenda kutafuta coz walikotoka baridi ilikuwa ni kikwazo but walipambana kuja kwenye joto kutafuta
 
zamani tuliaminishwa hivi Wachaga wezi,Wakinga wachawi.

lakini kumbe si kweli..
Wachagga Ni Wezi Na Wadhulumati Hata Wenyewe Wanajua. Wakinga Wanatusua Kwasababu Walikuwaga Wamewekeza Kwenye Miti, Walivyouza Ndo Wakaboom.
 
Back
Top Bottom