Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

wambie waache uboya
Screenshot_20240810-233424~2.jpg
 
Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???
Hao watu wanakuwa wamekula utumbo wa kuku wa kisasa na kushiba.Na mtu akishiba huku anakuna kijitumbo chake kwa uvivu,hata kuongea au kuandika anakuwa hatumii akili nyingi. Wasamehe ni utumbo wa kuku huo!
 
Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???
Maboya hao huku mkoani tunaish matamu huko kwao wanahaha kichizi noise pollution, jam barabarani, air pollution, fake buttock https://jamii.app/JFUserGuide broos, umeme wa mgao, mashoga kibao, makazi yaliyobanana, kesi za ulawit huwezi acha mwanao kizembe
 
Back
Top Bottom