Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wanazingua sanawambie waache uboya
View attachment 3139399
MADEMU WENU WAKIJA HUKU TUNAWAPA DUSHELELENgoja nami nifanye mpango manyanyaso yamezidi
Hao watu wanakuwa wamekula utumbo wa kuku wa kisasa na kushiba.Na mtu akishiba huku anakuna kijitumbo chake kwa uvivu,hata kuongea au kuandika anakuwa hatumii akili nyingi. Wasamehe ni utumbo wa kuku huo!Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???
Maboya hao huku mkoani tunaish matamu huko kwao wanahaha kichizi noise pollution, jam barabarani, air pollution, fake buttock https://jamii.app/JFUserGuide broos, umeme wa mgao, mashoga kibao, makazi yaliyobanana, kesi za ulawit huwezi acha mwanao kizembeHabari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???
labda wale vijana wa magomeni lkn sio sisi wa huku BUNJUMbona mademu wa huko nao wanalalamika? Et chipsi zimewamaliza nasi huko tunachakaza wa kwenu tukija huko
Tangu jana humu hatupumui hao jamaa wanakera sanaMaboya hao huku mkoani tunaish matamu huko kwao wanahaha kichizi noise pollution, jam barabarani, air pollution, fake buttock JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala broos, umeme wa mgao, mashoga kibao, makazi yaliyobanana, kesi za ulawit huwezi acha mwanao kizembe
Hao watu wa Dar wana lipi la maana kiasi cha kuwasimanga watu wa mikoani ?Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???