Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Sawa BABU nimekupata. Hayo ni mapito tu yatakwisha usijali.
 
Mwanzoni lengo lilikuwa ni kuitana Bob kwa kuiga slang ya black Americans maana yake ni rafiki (buddy/pal/friend)

Ila wabongo wengi kusema bob kumewashinda mwisho wa siku imekuwa babu

Oyaa vipi bob?
Ndio maana naambiwa Bob Marley alikuwa mchaga kutoka ukoo wa Malya sema wazungu wakashindwa kuita Malya wakaita Marley.

Jina halisi la Marley ni malya hivyo anaitwa Bob Malya
 
Ukimzidi miaka 30 wewe ni babu, unashangaa Nini babu?
 
Mwana FA Mwana FA ashawambia msije mjini ila bado hamsikii bado mnakaza fuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…