tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Sawa BABU nimekupata. Hayo ni mapito tu yatakwisha usijali.Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akinimbia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.
Sijaka sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.
Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"
Kwa sasa niko Mabibo safarini.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app