Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Kwa sababu hawataki kulipa Kodi,wamezoea vya bure na kulishwa neno la wanyonge huku wakiliwa na Wazalendo wa Chato kama hivi 👇Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Ni kweli tupuWiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Hizi ni nongwa tu hiyo 90% uliyotaja ni watanganyika ambao hawakupenda kuongozwa na rais mwanamke hasa hasa kutoka Zanzibar., msubirini Ndugai na aila zake mama atakapomaliza muda wake 2030., shuwayn..!!Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Tutapiga kura, na mama atarudi, wewe unayekaa sebuleni kwa shemeji unasubiri Hela zikufate hapo, lazima ulie maisha magumu, toka nje kafanye kazi. Kura yangu kwa SSHNi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Watanzania hua hawapigi kura bali wanawekewa Kiongozi ambaye wenye Nchi washamuandaa,Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Very weak argumentFanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.
Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.
Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.
Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
....unayo hoja.Hizi ni nongwa tu hiyo 90% uliyotaja ni watanganyika ambao hawakupenda kuongozwa na rais mwanamke hasa hasa kutoka Zanzibar., msubirini Ndugai na aila zake mama atakapomaliza muda wake 2030., shuwayn..!!
HeheNi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Ulishawahi kumuuliza kama yeye ananipenda?!Ila we dada unachuki na madam Rais sijui kwann sijui.