Mie naona asiye na akili tu ndiye asiyeyaona mema ya Mama Samia.Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Utawezaje kumchukia shangazi yako wewe?Wewe ni mjinga tu na chuki zako sijawahi sikia mtu anasema anamchukia Mama Samia. Samia ni bonge la President
Amefungua nchi Hadi riziki zimeanza kuonekana.
Tusiokuwa na akili hatuoni mema yake kwasababu katubebesha mizigo ambayo mtangulizi wake alilitua,Tozo + gharama za kuunganishiwa umeme kutoka 27,000 mpaka 321,000,Aondoe hizo tozo uone kama tutakuwepo tusiokuwa na akili.Mie naona asiye na akili tu ndiye asiyeyaona mema ya Mama Samia.
Umasikini wako aliuleta yeye au alikukuta u masikini hohehahe.
Wanapiga tatizo umaskini,akipewa sare na kitenge basiWatanzania hua hawapigi kura bali wanawekewa Kiongozi ambaye wenye Nchi washamuandaa,
Jiandae kisaikolojia 2025 Mama Ikulu.
WE NI JINSIA GANI, NI MZUSHI HAJAWAHI TOKEA. UTAKUWA ILIFANYA UTAFITI WA MKE WAKO.Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Wewe toka lini ukawa na nyumba ya kuunganishiwa umeme?Tusiokuwa na akili hatuoni mema yake kwasababu katubebesha mizigo ambayo mtangulizi wake alilitua,Tozo + gharama za kuunganishiwa umeme kutoka 27,000 mpaka 321,000,Aondoe hizo tozo uone kama tutakuwepo tusiokuwa na akili.
Toka upate urais unadharau sanaKumbe ni maneno tu? Nilifikiri naongea na mtu mwenye maana kumbe ni walewalee.
Amchukiae mtu bila kisa ni mwanga tu.
Samia utamkubali kwa kitu gani zaidi,hakipo uwezo wake wa kusimamia nchi ni mdogo sana sana.Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Samia anachukiwa na wakristo pekee??Ukichunguza sana chuki zote hizi ni matokeo ya udini na sehemu nyingine ni ujinga waliojazwa hao wanaoitwa wanyonge na utawala wa awamu ya tano. Watanzania tunaangalia pale tulipoangukia na si pale tulipojikwaa. Haya matozo ni athari ya sera mbovu za uchumi za mwendazake lakini watu hawalioni hilo.
Anamuamini na Kumsikiliza mno Fisadi na Mafia Mkuu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi, Kiutendaji na Kimaadili kati ya mwaka 2005 na 2015.Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Unapimaje uwezo wa Samia kusimamia nchi? Kwani ameshindwa nini ndani ya mwaka na nusu akiwa IKULU?Samia utamkubali kwa kitu gani zaidi,hakipo uwezo wake wa kusimamia nchi ni mdogo sana sana.
Aliharibu uchumi gani JK? Nitajie failures za JK, Nami nitakuwekea mafanikio ili wasomaji walinganishe. Acheni uwongoAnamuamini na Kumsikiliza mno Fisadi na Mafia Mkuu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi, Kiutendaji na Kimaadili kati ya mwaka 2005 na 2015.
Umeongea ya maana sanaFanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.
Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.
Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.
Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Unakoelekea utaanza kujiaibisha kwa ulichoandika ww tulia tu,ili ujifunze kitu ambacho huna isije ikafika mahali hata waliodhani una akili wakaanza kukudharau tu.Unapimaje uwezo wa Samia kusimamia nchi? Kwani ameshindwa nini ndani ya mwaka na nusu akiwa IKULU?
Mnaongelea bei ya bidhaa siyo. Kwani Magufuli alipoingia bei ya sukari mwaka 2015 si ilikuwa Tsh 1,800? Na alipokufa mpaka sasa imeng'ang'ania Tsh 3,000- 3,500.
Mambo ya petroli ni global conflicts na nchi zote duniani zinaathirika including USA na nchi za Ulaya.
Tozo ni njia halali ya kupata fefha kumalizia miradi iliyoanzishwa na Magufuli bila mpangilio. Kwa wakati mmoja ujenge JNHEP Rufiji, SGR, Dodoma Capital, Mwanza- Busisi etc. Wakati huna makusanyo hayo ya kuweza kubeba mzigo huo.
Samia anafanya yote including kuajiri vijana sekta za Afya na elimu as well as kupandisha mishahara.
Anyway, kuelewa hoja zangu lazima uwe na akili
Umalkia sio urais. Umekosea.Toka upate urais unadharau sana
Usisahau kunipa uteuzi boss ladyUmalkia sio urais. Umekosea.