Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!


Magu alikuwa na mapungufu yake but wanainchi walikuwa wanaona kuwa anabana matumizi,

Tunajua Safari za rais zinakata pesa Sana na magu hakusafiri Kwa muda wote

So hata kama alikuwa mwizi Sisi ambao tunaibiwa tulimwamini

Now Bilion 7 Kwa ajili ya documentary, Safari za nje ni kila siku
 
Unajifariji tu kwa ujinga. Huyu unamshabikia kisa anakupa ulaji. Taifa hili lina watu wajinga na wanafiki wengi sana, ukiwemo na wewe mkuu.
 
CAG kazi yake ni kuchonganisha Raisi na Wana nchi.hicho cheo kifutwe.
Mbona riport za CAG hazifanyiwi kazi? Bora CAG asiwepo.😂😂😂😂😂
Kwenye kufanyia Kazi ndio swali la msingi ila Kazi yao ni muhimu japo wanakula rushwa Sana ,hapo wamecompromise na wakuu wa Taasisi Ili kupunguza makali.
 

Magu ndio alikuwa anasema tz ni tajiri
 
Ki Kimsingi mtu wa aina yako unapaswa ukatwe vipande vipande then mbwa uwe chakula chao
 
Nchi gani hali ya maisha haijapanda tangu mzozo wa Ukraine na Russia uanze mkuu? Hebu pitia vyombo vya habari vya nchi jirani usikie hali ikoje. Malawi watu wameshaingia barabarani
Tofauti yetu na nchi nyingine ni kwamba sisi Rais anahamasisha bei kupanda ilhali marais wengine wanapambana kutafuta ahueni ya wananchi wao.
 
Watu wa hali ya chini waliamini kiongozi ma malaika hakopi, wakashangilia wafanyakazi kunyanyaswa kwa kutopandishwa mishahara, wakakenua wenye utajiri walipoporwa bila huruma. Wakadanganywa kuwa nchi yao ni tajiri. Sasa tumerudi kutoka ndoto za alinacha uhalisia wanauona. Lazima wanune, na bado hadi 2025 akili zitawakaa sawa tu.
 
Pascal Mayalla eti kura yako utampigia mwenyekiti wako
 
Misinformation, ujinga,na umasikini,upeo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…