Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mwgulu hamia BURUNDINi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Bado san kumchafua magufuli mwambie zito uchawa haulipiKwa sababu hawataki kulipa Kodi,wamezoea vya bure na kulishwa neno la wanyonge huku wakiliwa na Wazalendo wa Chato kama hivi [emoji116]
View attachment 2189699
View attachment 2189700
View attachment 2189701
View attachment 2189702
View attachment 2189703
Kura yako ni mojaTutapiga kura, na mama atarudi, wewe unayekaa sebuleni kwa shemeji unasubiri Hela zikufate hapo, lazima ulie maisha magumu, toka nje kafanye kazi. Kura yangu kwa SSH
Ulivyo mpuuziKwenye mambo mengi Tu, hata barabara ya moroco mwenge ni faida ya kubana matumizi Leo tunapita kwenye njia 4
Kachafuliwa na nani? Nani alimwambie aibe hela? Aue na kuteka watu?Bado san kumchafua magufuli mwambie zito uchawa haulipi
Utafiti wa chato?Majibu ya utafiti wako ni sahihi. Mimi pia niliwahi kuufanya utafiti kama wako na nikapata majibu kama yako.
Nilichokibaini ni hiki:-
-Watu wengi Wa chini uelewa wao upo chini sana. Hawamkubali Rais Samia kwa kuwa anaonekana ni mtu anayefuata taratibu tulizojiwekea kama Taifa. Na nyingi ya taratibu hizo ni kama vile haziwa-favour. Wanaona bora Rais aliyepita ambaye alikuwa anaamua kwa hisia tu. Yeye ndiye alikuwa sheria, Sera na mwongozo.
Watu wengi Wa chini (wenye uelewa ulio chini) hupenda matokeo ya papo kwa papo. Akikamatwa mwizi basi hapo hapo hukumu ipite. Lakini useme mwizi afikishwe kituo cha Polisi, Polisi wakiona anafaa kupewa dhamana..wampe dhamana na wakimfikisha mahakamani na labda mahakama imwachie huru kwa kuwa ushahidi haukutosha, basi wananchi hawataelewa.
Lakini pia, Wananchi wengi Wa chini wameumizwa na usafishaji Wa miji. Walizoea Rais "Wa wanyonge" ambaye aliruhusu Biashara holela popote pale. Sasa huyu Wa sasa anataka kila kitu kifanywe kama kinavyoelekezwa.
Sababu ya 3, watu wengi wa chini hawaamini kwamba jinsia KE haiwezi kuongoza. Na wengine hawamkubali kutokana na mahali alipotoka pamoja na dini yake.
Watu Wa chini pia wana kawaida ya kuamini uzushi. Huwa hawajishughulishi katika kutafuta ukweli. Na katika hili, wanaamini uzushi Wote wa watu kama akina Veronica France.
Mwisho ni hulka za masikini na za kimasikini kuamini kuwa matajiri wamepata utajiri wao kwa kuwanyonya masikini. Sasa wanapoona serikali inawatambua na inawa-treat matajiri fairly basi wanapata hisia kuwa matajiri wameishika serikali na serikali haipo upande wao.
Na mwisho kabisaaa..ni uongo Wa awamu iliyopita kuwa inatekeleza miradi yote kwa pesa za ndani. Watu waliaminishwa na waliamini. Wenye akili hawakuamini. Sasa wanaposikia awamu ya sasa inakopa na inaweka wazi kuwa inakopa, basi watu Wa chini wanapata la kusema.
Nawasilisha
Ground ipi?Wanaomdanganya hawampendi !! Walisha shauriwa humu jf kwamba kama hawaamini waende kwa GROUND wakajionee !!
Haramu halali ni suala la imani.Kwa sababu wanao heshimiwa ni wenye pesa bila kujali kama ni za halali au za haramu !!
Alijichafua mwenyewe kwa kuua, kutesa na kuua watuBado san kumchafua magufuli mwambie zito uchawa haulipi
Unamchukia wewe na sukuma gang! Sie watanzania tunampenda sanaWiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Habari ya Burundi?Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Yaani tulio Vijijini kazi yetu ni kilimo na mbolea imepanda Bei kwa asilimia zaidi ya miamoja na Bei ya mahindi yetu Iko palepale.Harafu MSI generalise Sana ,watu wengi wa mjini ndio unaweza sema hawamkubali lakini maeneo ya Vijijini kwenye miradi ya Afya,maji, barabara na shule huko ni wafuasi wa ccm dam dam..
Kumbuka ndio wengi na ndio wanaofeel Hali halisi,,watu wa mjini huwa hawaoni impacts ya miradi ya serikali Kwa sababu wao Wana options nyingi.
Bahati mbaya sana siyo kila aliyetumbuliwa hadharani alikuwa na makosa. Kuna baadhi ya viongozi walitumia mtindo huo ili JPM aone wanafanya kazi.Sababu nyingine watu hawapendi watu wapate maendeleo.Hayati aliwaaminisha watu kwamba mtu ukiendelea kidogo tu ni mwizi.
Mpaka ikapelekea mtu anatumbuliwa hadharani na watu wanashangilia.
Samia ndio kapandisha bei ya mbolea? Mnataka nani awe Rais tuone kama imeshuka?Yaani tulio Vijijini kazi yetu ni kilimo na mbolea imepanda Bei kwa asilimia zaidi ya miamoja na Bei ya mahindi yetu Iko palepale.
Sijajua vijiji Gani unavyoongelea ila huku tunaotegemea kilimo Hali ni ngumu zaidi, mtu unalima na hela ya mbolea unakosa unapata hasara mara mbili.
Bahati mbaya ni kwamba hachafuliwi ila tunawaonyesha matokeo ya kuzuia free media na wapinzani.Bado san kumchafua magufuli mwambie zito uchawa haulipi
Is it? Ilibadilishwa lini? Kwa kweli kama ni hivyo itakuwa ni shida. Niliwahi kukutana na watu wa REA kijiji fulani hivi wanahamasisha watu kulipa 27,000/= ili wawekewe umeme. Majibu yaliyokuwa yanatoka kwa hao wanakijiji nilisema sijui kama kuna siku vijijini vyote vya TZ vitakuja kuwa na umemeImebadikika mkuu, wale waliolipia kabla ya 2021 ni 27000, Ila wapya ni miatatu mkuu
Kwani lini CCM haijawahi kuiba kura?Kwa nini hatuwezi kuwa wakweli. Kama tunampenda Mama tumuambie ukweli.
Kundi namba moja nibkina mama. Yaani wamekata tamaa na wanamchukia sana. Hawa ndio wanaoonja ugumu wa maisha ndio wajasiria mali wadogo ndio wanaoenda sokoni ndio wanaosumbuka na familia.
Ni kweli chuki kwa mama ni kubwa sana.
Kwa kuwa bado miaka 3 mbele arekebishe mambo vinginevo kweli CCM atalazimika kuiba kura kama inataka kubaki madarakani