Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

Inawezekana umeongea 'kisiasa' lakini hata Mimi hali iliyopo inanitisha
 
Amekumbatia mafisadi badala ya wananchi
 
Umepiga kwenye utosi ! Huo ndio ukweli pale chamani watu vision wamepungua sana kama sio kuisha kabisa !! Maana ukiona kipo kitengo cha kupakazia na kutusi watu ujue vision kushney !! Imebaki ni ujanja ujanja tu ili mkono uende kinywani !! Think tank kwaheri !!!
 
Ulivyo mpuuzi
Barabara ya Morocco imejengwa kwa fedha za mkopo sio fedha za ndani

Ww ndio jinga ujui, barabara imejengwa na ela ya sherehe ya Uhuru, hospital ya Dodoma Uhuru hospital imejengwa Kwa kubana matumizi

Nyie mnabana matumizi Kwa kutumia Bilion Saba kuitengeneza movie

Na bado mamilion ya kwenda kuiangalia marekani inavyozinduliwa
 
Kama kuna waliowahi mpigia kura jiwe hapo sioni ajabu
 
Ni kweli wanaomdanganya Mama hawampendi ! Ndio maana wanaambiwa huku kwa Ground wananchi wa kawaida ambao ndio wengi hawaelewi kabisa ! Wao wanajua kupanda kwa hali ya maisha kunasababishwa na uongozi wa sasa !!
 
Endelea kujidhihirisha ulivyo mpuuzi na zimbukuku!

Tafuta clip ya uzinduzi wa ile barabara alizindua Rais Samia usikilize wafadhili walivyotoa hela kujenga hiyo barabara
 
Endelea kujidhihirisha ulivyo mpuuzi na zimbukuku!

Tafuta clip ya uzinduzi wa ile barabara alizindua Rais Samia usikilize wafadhili walivyotoa hela kujenga hiyo barabara

Unaongea ukiwa wapi? Barabara alizindua magu, usije ukawa unachanganya na daraja la tanzanite
 
Utafiti kutoka kwa mtafiti mwenye upande wake.... 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…