Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahangaika sana mkuuNilichogundua watu wengi humu JF ni wapori pori
We muulize tu yeye ni kabila gani, uone kama siyo wa mkoani ye mwenyewe, ni ushamba tu unamsumbuaHahah, sema mwamba una kiburi, kejeli na dharau mpaka umeamua kuwabatiza majina eti "watu wa mikoani" aka wapori pori, hii Dar tuliyopo imetengenezwa na haohao watu kutoka mikoani kwa hiyo usipende kujiclassify wakati wote tunatumia resources za aina moja
Kuhusu Salamu jaribu kufata mila na desturi za sehemu husika hata kama kwako unaona ni ushamba na usumbufu ipo siku itakulipa