Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Huwa inakera sana mtu kushindwa kufuata mambo yake anasalimia salimia mara kuulizia ulizia hovyo. Mimi napenda ukimya na nafurahi mtu akiwa busy na mambo yake
Afrika umedondoka kwa bahati mbaya sana sasa ufanye mpango ukaishi uingereza au marekani, kwa mantiki yako itapendeza sana.
 
Kwahiyo unataka wawe kama waswahili wa pwani wanaokesha kwenye vibao kata? Pwani haijawahi kuwa safi na ndo inaongoza kuharibu maadili na kupenda kwenu nyuma kama mbwa nyie
 
Habari wana JF

Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200

Mambo ya kijinga sana na ni code za kishamba sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract halafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.

Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.

Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?

Kuna siku utahitaji usalimiwe na hutapata wa kukusalimia; Unaweza hata kufanya kasherehe ili watu waje kwako, na kushirikiana na wewe (na kukusalimia), Ila utawapata wa kuhesabu hii ni kwa sababu wanajua unawadharau
Nikiwa vijijini tamani kusalimia na kusalimiwa kadri iwezekananyo na hiyo ndio hunikumbusha maisha na mila nzuri tuliyokuwa nayo ambayo imebakia zaidi Vijijini....
 
Habari wana JF

Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200

Mambo ya kijinga sana na ni code za kishamba sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract halafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.

Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.

Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?
Ofcoz Kama unasalimiwa na wanyia na wafipa bas Wana kuchora tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee ila ni kweli ukipita karibu n nyumbani kwake anakwambia karibu hata kama ulikuwa huna nia ya kumsalimia inakubidi kingine unakuta limama likubwa linakuamkia shikamoo
 
Salamu ni security tangu awali, kumjulia mtu hali, kumjua.

Mkuu kama hupendi salamu jamii fulani za Ulaya/ Marekani zingekufaa.

Yani kuna sehemu mtu anaona kukusalimu ni kama kukusumbua.

Ila Kiafrika afrika kama hupendi salamu, unaonekana mchawi.
Hata ukiishi mahali lazima ujenge urafiki na watu fulani
Salam salam unakaa nao dk kadhaa
Tosha
Ukijifanya kauzu siku yanaweza kukuta wakakuangalia tu

Ova
 
Bro ukienda kwa swaga za kujitenga tenga na umjini mwingi utashindwa na hutofaidi vingi dance accordingly with the beat,UTAROGWE WEWE!!!
Kuna mtu alikuwa anaishi jirani kwangu,yaani mtaani ambao nipo
Huku mitaa ya garden
Alikuwa anaishi na mke wake,mke bonge la dude tako tako kiuno nyigu
Sasa jamaa yake alikuwa kauzu hana stori na mtu mtaani
Akipita kafunga viooo,akisafiri mke anamuacha ,ah kuna jamaa anakuja anamrukia sana mke wake
Sasa hapo mfano jamaa angekuwa na stori na vijana mtaani mke wake asingefanya mambo kifal hadharani

Contact na watu muhimu sana

Ova
 
Hata ukiishi mahali lazima ujenge urafiki na watu fulani
Salam salam unakaa nao dk kadhaa
Tosha
Ukijifanya kauzu siku yanaweza kukuta wakakuangalia tu

Ova
Watu wa kitaa lazima wajue code hizi.

Yani Uswazi hata kama wewe si mtu wa kukaa maskani, wewe kibosile ofisi kubwa, lakini ukipita maskani lazima utoe hi.
 
Kuna mtu alikuwa anaishi jirani kwangu,yaani mtaani ambao nipo
Huku mitaa ya garden
Alikuwa anaishi na mke wake,mke bonge la dude tako tako kiuno nyigu
Sasa jamaa yake alikuwa kauzu hana stori na mtu mtaani
Akipita kafunga viooo,akisafiri mke anamuacha ,ah kuna jamaa anakuja anamrukia sana mke wake
Sasa hapo mfano jamaa angekuwa na stori na vijana mtaani mke wake asingefanya mambo kifal hadharani

Contact na watu muhimu sana

Ova
Hiyo ni issue ya kula kimasihara, salamu za nini hao unao wasalimia ndiyo wanatafuta gear za kukukazia mkeo, sitaki mazoea
 
Aisee ila ni kweli ukipita karibu n nyumbani kwake anakwambia karibu hata kama ulikuwa huna nia ya kumsalimia inakubidi kingine unakuta limama likubwa linakuamkia shikamoo
Toa salam usiishi kwa kujitenga

Ova
 
Habari wana JF

Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200

Mambo ya kijinga sana na ni code za kishamba sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract halafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.

Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.

Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?
Watu wa mkoani kwani wewe ni wa wapi? Kuna mtu nchini hapa asiye ishi mkoani? We ni mshamba sana
 
Watu wa kitaa lazima wajue code hizi.

Yani Uswazi hata kama wewe si mtu wa kukaa maskani, wewe kibosile ofisi kubwa, lakini ukipita maskani lazima utoe hi.
Hata watu wanaweza kukusanua kama kuna jambo linataka kutokea
Kwako
Lakini ukisema unaishi kikauzu ahh raia watakuangalia tu,unaweza patwa na jambo wakakuxhunia tu

Ishi na watu,salimia nao

Ova
 
Binafsi najisikia amani sana kumsalimia mtu yoyote aliyekaribu nami ndivyo tulivyolelewa hata sasa nimemsalimia mtu hapa
 
Mimi hili sijui tatizo sijui dharau sijui kiburi yaan sipendi kusalimia salimia hasa ukute wamama kibao naweza jifanya naongea na simu muda wote.
 
Back
Top Bottom