Hahah, sema mwamba una kiburi, kejeli na dharau mpaka umeamua kuwabatiza majina eti "watu wa mikoani" aka wapori pori, hii Dar tuliyopo imetengenezwa na haohao watu kutoka mikoani kwa hiyo usipende kujiclassify wakati wote tunatumia resources za aina moja
Kuhusu Salamu jaribu kufata mila na desturi za sehemu husika hata kama kwako unaona ni ushamba na usumbufu ipo siku itakulipa