Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regionsTakwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake na kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unaju tena: wasomi , watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni: unahisi wahaya wanafeli wapi licha ya wao kuwa miongoni mwa makabila matano makubwa Tanzania na kutamba kwenye Majiji kama Dar na Mwanza kwa Elimu, Pesa pia kuongoza kwa kuvuka Border kwenye Ughaibuni, lakini Kagera inapumulia Oxygen kimaendeleo?
Mhaya wa mjini DR HAYA LAND jibuni hoja hizi pamoja na watu wengine.
Wewe ndo umejibu uhalisia.Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions
Yale makusanyo kutoka katika Biashara (revenue ) ndo huwa wanayatumia Kama kigezo kuwa bukoba au kagera ni mkoa masikini .
Personally ukienda bukoba hasa bukoba mjini, karagwe, bukoba vijijini n.k watu Kama watu hawana Maisha Magumu wanaishi vizuri wananyumba za bati mashamba ya ndizi ya kutosha mifungo n.k
Sasa ukija Kama dsm ukatafuta Mtu mmoja mmoja utashangaa kuona a lot of people wana shida Sana na hali ngumu za Maisha kulinganisha na watu wa bukoba kagera
Lakini dsm ina viwanda , bandari , Biashara nyingi n.k Ambazo zinaingiza mapato Makubwa serikalini. That is way Wanasema dsm ipo vzr kiuchumi .
Ila tukiangalia quality ya Maisha ya Mtu mmoja mmoja hakuna mkoa watu wanaishi vizuri Kama Bukoba kagera fatilia vizuri.
Ulimbukeni kwa kweli.Wahaya hawanaga ustaarabu, hata anunue pikipiki tu ni kelele mtaa mzima, ni ulimbukeni
Inawezekana.Wanaogopa "uchawi" wakiwekeza kwao
Kwa nini sasa tusirudi ku-invest kwenu, maana umegusia hakuna viwanda na biashara za kukuza miji, we huoni ni muda sasa wahaya kurejea makwao na kuanza kujenga kama walivyofanya wamisri?Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions
Yale makusanyo kutoka katika Biashara (revenue ) ndo huwa wanayatumia Kama kigezo kuwa bukoba au kagera ni mkoa masikini .
Personally ukienda bukoba hasa bukoba mjini, karagwe, bukoba vijijini n.k watu Kama watu hawana Maisha Magumu wanaishi vizuri wananyumba za bati mashamba ya ndizi ya kutosha mifungo n.k
Sasa ukija Kama dsm ukatafuta Mtu mmoja mmoja utashangaa kuona a lot of people wana shida Sana na hali ngumu za Maisha kulinganisha na watu wa bukoba kagera
Lakini dsm ina viwanda , bandari , Biashara nyingi n.k Ambazo zinaingiza mapato Makubwa serikalini. That is way Wanasema dsm ipo vzr kiuchumi .
Upo sahihi Sana ukipima individual watu wa bukoba wanaishi vizuri Sana chakula wanacho mvua zipo samaki wapo so watu wa kule sio watu wa Biashara kubwa kubwa Wala viwanda n.k lakini kumkuta mtu ana Maisha Magumu labda apende yeye.Hakuna viwanda,tra inakusanya kidogo ukilinganisha na population. Ila jamaa wako vzr
If hakuna viwanda wala uzalishaji wala kilimo.Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions
Yale makusanyo kutoka katika Biashara (revenue ) ndo huwa wanayatumia Kama kigezo kuwa bukoba au kagera ni mkoa masikini .
Personally ukienda bukoba hasa bukoba mjini, karagwe, bukoba vijijini n.k watu Kama watu hawana Maisha Magumu wanaishi vizuri wananyumba za bati mashamba ya ndizi ya kutosha mifungo n.k
Sasa ukija Kama dsm ukatafuta Mtu mmoja mmoja utashangaa kuona a lot of people wana shida Sana na hali ngumu za Maisha kulinganisha na watu wa bukoba kagera
Lakini dsm ina viwanda , bandari , Biashara nyingi n.k Ambazo zinaingiza mapato Makubwa serikalini. That is way Wanasema dsm ipo vzr kiuchumi .
Ila tukiangalia quality ya Maisha ya Mtu mmoja mmoja hakuna mkoa watu wanaishi vizuri Kama Bukoba kagera fatilia vizuri.
Kama TRA wanakusanya kidogo means Mzunguko wa hela ni mdogo. Hakuna maelezo mengine.Hakuna viwanda,tra inakusanya kidogo ukilinganisha na population. Ila jamaa wako vzr
Wahaya wanaishi Maisha yenye maana na uhalisia wao wako Mbele ya Muda uwekezaji wa mashule wahaya wamewekeza Sana fatilia shule zinazofanya Vizuri Tanzania lazima utazikuta shule Kama Kaizirege na Kemebos ambako nimesoma Mimi Ada kipindi hicho ilikuwa 2.5Mil 2012 .Kwa nini sasa tusirudi ku-invest kwenu, maana umegusia hakuna viwanda na biashara za kukuza miji, we huoni ni muda sasa wahaya kurejea makwao na kuanza kujenga kama walivyofanya wamisri?
Ki ukweli uwezi kulinganisha maisha ya mtu anayeishi maisha nyumba ya bati dar, na mtu anayeishi nyumba nzuri bukoba... Dar es salaam expenditure ni kubwa kuliko kagera, huyo mtu anayeishi maisha ya kwenye nyumba za bati uchumi wake au pato lake kwa siku anaweza kumzidi mtu anayekaa nyumba nzuri karagwe...
Ifike muda sasa wahaya turudi na kuanza kuboresha majumbani kwetu, na kwenye miji yetu na kufungua biashara za maana... utakuta Mhaya huyo huyo anamiliki mashule, maduka na biashara nzuri Mwanza au Dar, lakini anashindwa kuwekeza kagera
Pima Maisha ya Mtu mmoja mmoja then uone Kama huko bukoba Kuna masikiniKama TRA wanakusanya kidogo means Mzunguko wa hela ni mdogo. Hakuna maelezo mengine.
Mikoa iliyopo juu kuna Viwanda?
Life is about setting standard sisi hatushindani na mtu tunakula tunachotaka maji yapo Umeme haukatiki tunatoa Uganda ,samaki sangara ndizi kibao , Elimu tunayo Sasa unadhani tutake Nini Tena Mkuu au unataka MUNGU atupe Nini sisi huku bukoba tupo Mbele ya Muda tunaishi kwa UPENDO Uhuru na AmaniIf hakuna viwanda wala uzalishaji wala kilimo.
Hao watu hela wanatoa wapi?
Au ulidhani vitu hivyo vinatengana?
Msipobadilika maendelea kukamata mkia, Si ndio nyie mliambiwa na Chalamila mnafungua maduka saa 5 asubuhi?
Usijifungie, zunguka na mikoa mingine.....Pima Maisha ya Mtu mmoja mmoja then uone Kama huko bukoba Kuna masikini
Mmeseti standard gani?Life is about setting standard sisi hatushindani na mtu tunakula tunachotaka maji yapo Umeme haukatiki tunatoa Uganda ,samaki sangara ndizi kibao , Elimu tunayo Sasa unadhani tutake Nini Tena Mkuu au unataka MUNGU atupe Nini sisi huku bukoba tupo Mbele ya Muda tunaishi kwa UPENDO Uhuru na Amani
Pesa tunauza maharage huku kilimo Cha maharage na ndizi kinatupa hela Sana Tena Sana .
Mikoa gani Mkuu ambao unaweza kuusogelea bukoba kwa good life standard haupo hata mmoja Mimi nimetembea Sana ogopa mkoa ambao unapata mvua yakutosha ogopa Sana ogopa watu wasomi ogopa Sana ogopa watu walikutangulia Kupata Exposure ya kuijua Dunia ogopa sanaUsijifungie, zunguka na mikoa mingine.....