Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ogopa sana ππππMikoa gani Mkuu ambao unaweza kuusogelea bukoba kwa good life standard haupo hata mmoja Mimi nimetembea Sana ogopa mkoa ambao unapata mvua yakutosha ogopa Sana ogopa watu wasomi ogopa Sana ogopa watu walikutangulia Kupata Exposure ya kuijua Dunia ogopa sana
Aliyekuzidi kakuzidi tuMmeseti standard gani?
Unaelewa maana ya Standard lakini we Mhaya?
Nani anawarefer nyie kama Benchmark ya mafanikio?
Msibobadilika mtaendelea kukamata mkia.
Mshaanza sifa hapahapa sasaMikoa gani Mkuu ambao unaweza kuusogelea bukoba kwa good life standard haupo hata mmoja Mimi nimetembea Sana ogopa mkoa ambao unapata mvua yakutosha ogopa Sana ogopa watu wasomi ogopa Sana ogopa watu walikutangulia Kupata Exposure ya kuijua Dunia ogopa sana
Kagera ipo top five nchini kwa kilimo mkuuIf hakuna viwanda wala uzalishaji wala kilimo.
Hao watu hela wanatoa wapi?
Au ulidhani vitu hivyo vinatengana?
Msipobadilika maendelea kukamata mkia, Si ndio nyie mliambiwa na Chalamila mnafungua maduka saa 5 asubuhi?
Lakini inakamata mkia kwenye per capita income.Kagera ipo top five nchini kwa kilimo mkuu
Kagera inaongoza kuzalisha ndizi, kahawa, vanilla, maharagwe etc
Hivi vitu ni vya kawaida sana mzee wangu.....Acha takwimu zibaki hivyo hivyo....
Siku hiz kagera imekumbukwa sana...kuliko kuitwa matajiri bora uitwe maskini...
Maana sisi Tanzania kama nchi bado sana hakuna unafuu wowote...
Siku hiz bukoba nayo inajengwa dual carriageway? Bukoba hatimaye stendi inajengwa? Bukoba kuna jengwa university? Bukoba bandari inapanuliwa...uwanja wa mpira uko vzr, Airport inawekewa Taa, kuna miradi ya maji nk...
Bukoba imekumbukwa sana kuliko hata kipindi cha magu...
Hapa wanajenga barabara ya njia nne Bukoba...
View: https://youtu.be/5wy3ve2dGUk?si=CJKW3P7R8dfC2yen
Taja mkoa wenye miradi na maendeleo yote hayo kwa pamoja...ukitoa Dar na DodomaHivi vitu ni vya kawaida sana mzee wangu.....
Kama ndio vinawekwa sasa kweli Bukoba palikuwa pa ajabu.
Means Bukoba ipo miaka 15 nyuma ukilinganisha na mikoa Mingine.
Iringa ipo mbele ya Kagera miaka 20 mbele.Taja mkoa wenye miradi na maendeleo yote hayo kwa pamoja...ukitoa Dar na Dodoma
Tuungalie mkoa wa Iringa ambao unatajwa wa pili kwa kipato nchini...je una uwanja wa ndege kama wa bukoba? Tazama vijiji vya kilolo je vina barabara za lami na maji kama ilivyo lets say Bukoba vijijini? Je iringa kuwa uwanja wa mpira wa kisasa kama kaitaba? Unaoweza host hata mechi za usiku?
Vip iringa ukiachana na wilaya zinazopiwa na barabara kuu...wilaya za huko zina lami?
Ukiachana na barabara moja ya hapo mjini kati iringa ni wap kuna barabara nzr dual iringa nzima...
Hebu yateje maendeleo yaliyoko Iringa na Kagera hakuna....
Bukoba ipi acha kujifariji nynyi ni maskiniKipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions
Yale makusanyo kutoka katika Biashara (revenue ) ndo huwa wanayatumia Kama kigezo kuwa bukoba au kagera ni mkoa masikini .
Personally ukienda bukoba hasa bukoba mjini, karagwe, bukoba vijijini n.k watu Kama watu hawana Maisha Magumu wanaishi vizuri wananyumba za bati mashamba ya ndizi ya kutosha mifungo n.k
Sasa ukija Kama dsm ukatafuta Mtu mmoja mmoja utashangaa kuona a lot of people wana shida Sana na hali ngumu za Maisha kulinganisha na watu wa bukoba kagera
Lakini dsm ina viwanda , bandari , Biashara nyingi n.k Ambazo zinaingiza mapato Makubwa serikalini. That is way Wanasema dsm ipo vzr kiuchumi .
Ila tukiangalia quality ya Maisha ya Mtu mmoja mmoja hakuna mkoa watu wanaishi vizuri Kama Bukoba kagera fatilia vizuri.
Stendi ni Mali ya serikali, Mali binafsi za mhaya ni standardOna bukoba mjini tena stand hata kubadili mabati kazi
Picha za 2010 hiz...hata kama una hoja jaribu kuleta current evidence...Ona bukoba mjini tena stand hata kubadili mabati kazi
Makabila gan hayo yako mbali sana katika elimu kuliko wahaya nchi hii?Watu wa bukobaa Wana panic attak Kuna tofaut ya usomi na maendeleo!! Kwanza walifahamu Hilo, usomi wao ni zaman hizo Kuna makabila yapo mbali zaidi ya wahaya ktk elimu
Ila bukoba wale ndz walale siwez kubishana nao kabisaa aaaniii maake wanaleta usomi na uchumii na mkoa wao ni wa mwisho
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Wanakula sana wadudu (senene), unajuwa unapokula hawa panzi nawe unakuwa na akili za kipanzi.Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni: unahisi wahaya wanafeli wapi licha ya wao kuwa miongoni mwa makabila matano makubwa Tanzania na kutamba kwenye Majiji kama Dar na Mwanza kwa Elimu, Pesa pia kuongoza kwa kuvuka Border kwenye Ughaibuni, lakini Kagera inapumulia Oxygen kimaendeleo?
Mhaya wa mjini DR HAYA LAND jibuni hoja hizi pamoja na watu wengine.
Uko sahihi Mimi Nina jamaa yangu mhaya anasema ukiwa na maendeleo kwao hutadumuWanaogopa "uchawi" wakiwekeza kwao