Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

Wanaotamba hawako Bukoba.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nani kakuuliza umesoma wapi na ada uliyokua unalipa?
Misifa ya kijinga hii
 
Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions
Sasa inakuwaje Pwani uwe mkoa wa 23 ilhali una viwanda kama vyote vile?
 
 
Nani kakuuliza umesoma wapi na ada uliyokua unalipa?
Misifa ya kijinga hii
Huo ni ufafanuzi ili kuondoa utata Mkuu Ada imepanda Muda huu ni 4Mil

Kuna mtu kasema wahaya wawekeze katika shule nikamwambia bukoba Kuna shule nyingi Sana nzuri Ambazo sio rahisi kuziona mikoa mingine means wahaya wamewekeza Sana katika kujenga shule zenye ubora wa hali ya Juu.
 
Ohoooooo umeharibu tayari, ngoj yule jamaa aje na mipichapicha ya vijijini kwao huko
 
Wacha urongo weweeee, wanaishi vizuri kwa kitu gani
 
Siku hizi instanbul umebadili ID
 
U naandika vitu vya kawaida mno.....
Havikutakiwa utumie kama ndio reference ya maendeleo.
Kama unatumia lami kama ndio kipimo cha maendeleo, basi kazi ipo.
Nadhani nikuache na upumbavu wa wako....

Lakin kaa ukijua...Tz kama nchi hakuna maendeleo yoyote mpaka kufikia hatua ya kuchekana..
 
Wahaya tatizo lao ujuaji mwingi halafu wengi ni wabinafsi, madhulumati sana!

Ukiwekeza na Mhaya jua umepigwa!

Strategic investors wanawaogopa sana!
Wao wacha waendelee na Katerero yao basi!

Guest Houses zao nyingi vitandani magodoro yamefunikwa maturubari utadhani vitanda vya kujifungulia wazazi!

Hivi karibuni Mhe.Mbowe,Mwemyekiti wa CHADEMA kwenye ziara yake Bukoba aliwambia yeye amesoma Ihungo na anawafahamu vizuri kwani wamebarikiwa kuwa na MAJI MENGI yanayofaa kwa kilimo!

Wahaya acheni kulialia kwani mna MAJI MENGI yafaayo kwa kilimo.
 
Si kweli. Nadhani ni kwa sababu wanapoteza fedha nyingi kwenye majisifu na kujenga mahekalu vijijini yakaishia kuozea kule mbali na karoho kabaya. Rwabutomize. Are yu zea?
 
Wahaya wengi hata wasomi ni watu ambao sio practical ni watu wa maneno mengi na majigambo zaidi kuliko uhalisia.
 
Kwa njia, hiyo hiyo, tutoke nje ya Tanzania, tujilinganishe na South Afrika, Nigeria, Kenya, Morroco, wote Hao wanatuzidi kipato kwa wastani wa kila MTU!
Yes wananchi wetu wana kipato kidogo,ukilinganisha na wenzao kwenye nchi nyingine, richa ya, kuwa Diamond, bakhresa wapo bongo!
 
Hamuwazidii wachaga ktk elimuu nikwambie tuu hivo japo wao hawaji brag km ninyii...... Nyie mnaonekana wasomi kwa kujisifia

Afu tofautisha msomi na mbobezii...... Ukielewa apo utajua wahaya ni wasomi au wabobezii

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani nikuache na upumbavu wa wako....

Lakin kaa ukijua...Tz kama nchi hakuna maendeleo yoyote mpaka kufikia hatua ya kuchekana..
Nadhani ni mimi nilitangulia kukuaga, maana
Hali ya Bukoba inachekesha......
Na ulipoifananisha Bukoba na Iringa ndipo nilipokuona wewe ni mjinga.
Na ujinga kama wako ndio unafanya Kagera yenu iendelee kutopea kwenye ufukara wa kutisha.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuita uwanja wa kaitaba maendeleo, sijui bandari kwenda Mwanza.
"Airpott inaifanya kagera iwe connected to the world".
Kwa airport gani?
Ushamba unawasumbua, ushamba utawamaliza.
 
Tumia theory hiyo kulinganisha Kagera na Iringa.
 
Mwambie kwanza kilimo cha iringa na kagera ni tofaut kabisaa.......
Ata kipind kahawa ikiwa na Bei wao walikuw wanauza Uganda asa Tzs equivalent to UGs bdo kuendelea kwao kugumu....

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 

Itakuwa wengi wao wanalipa kodi nje ya mkoa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…