Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

Uwekezaji unategemea mambo mengi, ukiona viwanda vilivyopo pwani na dam, ujue waliowekeza siyo individuals/siyo wenyeji pia. Wawekezaji wanaweza kuwa makampuni ya ndani na nje, yanaweza kuwa serikali na mashirika yake n.k kwa kutegemea na mazingira na miundombinu.
Kwa hiyo usiwalaumu wenyeji
 
Mkuu huwezi kufanikiwa kwa kuwashusha watu waliokutangulia....wahaya ndo top kwa elimu nchi hii na wala hakuna jamii inayokaribia kufikia hata robo ya idadi ya wasomi wa kihaya....angalia hata idadi ya wanasheria, maprofesa, madoctor...jamii inayomiliki mashule, college, na vyuo hapa nchini....
Wachagga wenyew wanajua kuwa kwa elimu mhaya hagusiki nchi hii....

Na mtu akisoma yeye ndio anaamua awekeze wap au aaply wap elimu yake...huwezi mlazimisha sijui wekeza kwenu...
Tabia hii iko Tanzania ya kutaka watz tufanane kitabia...sijui ni ujamaa au nini...mtu akipata hata tatizo kidogo utaskia kwa sababu anatabia hii sjui vile...utaskia wale watu wamepata ajali kwa sababu wana dhambi nyingi Tunaacha kulook all sides of perspectives tunaishi kwa kutumia akili ndogo

Kaa ukijua wahaya watabaki kuwa wahaya, wachaga watabaki kuwa wachagga? The like... Kwako kitu fulani ni mapungufu lakini kwake ni pride...Respect culture mkuu....
 
Bado una akili za kitoto....I hope wew sio mwanamke...maana hutumii akili kabisa....unabishana kwa ushabiki na chuki kwa mbali...huna hoja...
Nimekukaribisha utoe hoja kujustify Iringa imeendelea...population ya Iringa ni ipi na kipato chao ni ipi...maana tunaoverlook mambo mengi

Hebu tazama hiz takwimu...
Tazama pato la kagera na pato la iringa...
Maana unavyoisema iringa as if ....
 
Ningekuwa wewe nisingetumia hizi takwimu.....
1. Ni miaka miwili hii pekee ndio Kagera imekuwa juu ya Iringa miaka mingine Iringa ipo juu ya Kagera.
2. Kagera mapato yake yapo juu ya Mbeya, je Kagera pameendelea kuliko Mbeya?
Vipi takwimu kama GDP na GDP per capita zinasemaje?
Vipi ukitazama hali ya wakazi unaionaje?
Tangu mwanzo nilikuepuka na wala sikutaka kuleta takwimu zozote, sio kwamba sizifahamu au Sina, lah.
Nafahamu takwimu ni Tricky,zinahitaji umakini na Utaalamu wakati wa uchambuzi.
Huwezi kukurupuka kusema hivi wakati takwimu zinasema Vingine.
Wewe ni mchumi? Mimi sio mchumi ndio maana nilitaka tutumie vipimo vya macho tu....
Kama ni mchumi nieleze Why kagera Imekuwa na mapato makubwa wakati huo huo ikiwa na GDP ndogo kuliko Iringa.
 

Attachments

Hii ndo nataka sasa sio kutuletea maneno na porojeo oh kagera iko nyuma ya iringa miaka kumi!!...na bla bla...

Please nikupe assignment tembelea website ya BOT utazame kagera iko wap na iringa iko wap...wap wanacontribute more kwa GDP ya Tanzania...population ya iringa na kagera...i hopw utajua kwa nini kagera inakuwa na per capita ndogo...inayoziwa hadi na lindi...
Katika study yako toa wahaya wala ukabila kichwani...tumia akili yako pure
 
Na hiz ni takwimu za mwaka huu....
Eti kagera kuizidi mbeya...kwan haiwezekani...mbona iringa inaizidi mwanza kwa per capita lakin mwanza iko mbali kimaendeleo?
View attachment Tax_Revenue_Collection_Statistics_-_Fourth_Quarter_2022_23_Financial_Year-JULY_2023 (1).xls
 
Unanipa assignment?
Umefungua attachment nilizoweka hapo zinazungumzia nini?
Niende nikatembelee na Nimekuwekea vyote hapo?
Unichambulie wewe mchumi.

Ukweli ni kuwa Kagera ipo Nyuma, hili halina mjadala.
 
Mwanza ni kubwa, mjini na vijijini distribution ya maendeleo ikoje?
Kwani per Capita nini?
Kuna maendeleo, yanamilikiwa na Nani?
Kwa iringa mjini na vijijini kuna maendeleo sana...
Iringa hii ya kilolo, iringa manispaa yenya ipogolo, kihesa,igumbiro nk na mafinga...

Kuna maendeleo gani actually iringa...hebu yataje mkuu...
 
Hicho kitu nakikataa...... Mimi nilikopita wahaya sijaona msomi kuzid wachaga wewe, sijui maprofesa sis tunao wa kutosha tuu mzee,
Au tuingie battle tuone wahaya na wachaga tuanzie na top organization yoyote uone namba...... ?

Kuhus shule..... Hamuuzidi wachaga kwa shule, pili, ata vyuo, yaaan huo ndo ukwel km unatak takwimu nakuekea apa

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Lete sisi wasomaji tukasimulie jamii
 
Mara ya mwisho kuja BUKOBA ni lini kaka?
 
Hii imeenda...
 
Hujajibu hoja hata moja Nshomire hizi takwimu ni za serikali inasema mkoa ina kipato kidogo sasa we unasemaje mtu mmja mmoja ana maisha mazuri?
Au serikali ilipimia vipato vya mahoka?
 
Jibu zuri lakini halina msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…