Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Kwann watu wa mjini ni goigoi(wagonjwa), kulinganisha watu wa vijijin .
 
Si unaona vijijini moshi utadhani city centre halaf madem wakichaga pisi kali.
 
Ushindie michembe na uji hauna sukari ufanane na mtu nakula soseji ,nayai na maziwa,??mwili haunengwi na tofali.

Pili mkiambiwa ntafute hela mnakasirika ikiwa masikini utaoa demu mbaya utazaa watoto wabaya
Mkuu huku kijijini mbona maziwa na mayai yapo mengi tu. Tena vyote vya kienyeji.
Sema tu kazi nzito na kushinda juani ndo vinatukomaza tunakosa hata muda wa kujipodoa.
 
Swali ulilouliza katika mada, limefiti kwa umri huo.
Ipo hivi, mazingira ya mjini ni tofauti na kijijini. Ndio mana watu wa mjini mvua ikinyesha wanachukia ila kijijini wanaifurahia. Ukimaliza kidatu cha IV utajua sababu zingine.
 
Iko wazi sana


 
Ningekuona walahu una akili za kuvukia barabara kama ungeweka Picha za Diamond na Mmakonde before and after ingemake sense kuliko huu ufala ulioandika hapa,
 
Na wanaolewa na kuoa kwa sababu ya kuishi maisha halisi tofauti na wazugaji wa mjini.
 
Ata wewe ungeishi huko ungefanana na nyani hao unawasema .sema bahati yako tu kuishi mjini
 
ili suala ata mim uwa silielewagi sijui limekaaje kaaje, kijijini hakuna pisi kali kabisa, wanaume sasa sura za kimafia kinoma ndita tupu,

nikiendaga kanisani unakuta kanisa zima kuna wenye mvuto kisura na kwashep wapo wawili watatu tu, ila mjini ukienda kanisani dah hutoacha kuhudhuria ibada pisi kali tupu, ukienda bar pis kali,

ILI NAHISI LIPO KIMAZINGIRA SANA, MIILI INADETECT WAPI ULIPO ILI UKUPE MWONEKANO WA KUYAMUDU MAZINGIRA
 
Mtoa mada yupo sahihi hata Mimi naliona hili niliwai kuwa mkoa mmoja kwenye pembeni ya mji pisi kali za pale ni ila zilizokuja ile sehemu kifanya Biashara ukiingia kijijini videmu aisee Kama anavyosema mtoa mada sio kwamba hawana mapoda ila moaka physical structure watu wanaokurupuka bila kufikiri wamejaa kwenye uzi
 
Kwa uandishi wako na wewe unajiitwa wa mjini?
 
acha kumkosoa mungu.kilichoumbwa na mungu mwanadamu hapaswi kukosoa. laana itakunyemelea mbwa ww

a
 
Sikudhamiria kucheka lakini daaah 😂😂😂😂😂😂😂 ila hii statment yako inachekesha "Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…