Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona vijijini moshi utadhani city centre halaf madem wakichaga pisi kali.Hawana sura mbovu ila hawanaga Nuru ...Unajua Nuru inachangiwa na nn?
Kuna vitu kama lishe ndo maana ngozi Zina komaa na maswala ya kutumia hata showergel na mafuta mazuri hakuna ndo maana wanapoteza urembo wao.
Kuna madogo huko wanakosa matunzo ila wakija town hapa wanapendeza kwani wako na uzuri wa halisi..Mji ujuaji ni mwingi hata pisi mbovu itajipiga make up .
Angalia hyo mikoa lishe zao zilivyoduni ial wakija town ndo hao wengi ni warembo
View attachment 2519727
Mkuu huku kijijini mbona maziwa na mayai yapo mengi tu. Tena vyote vya kienyeji.Ushindie michembe na uji hauna sukari ufanane na mtu nakula soseji ,nayai na maziwa,??mwili haunengwi na tofali.
Pili mkiambiwa ntafute hela mnakasirika ikiwa masikini utaoa demu mbaya utazaa watoto wabaya
Swali ulilouliza katika mada, limefiti kwa umri huo.13 mkuu
Kuleni vizuri ndo maana shape kama kabati ,vifua vikubwa miguu kama kwareSi unaona vijijini moshi utadhani city centre halaf madem wakichaga pisi kali.
Ningekuona walahu una akili za kuvukia barabara kama ungeweka Picha za Diamond na Mmakonde before and after ingemake sense kuliko huu ufala ulioandika hapa,Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Na wanaolewa na kuoa kwa sababu ya kuishi maisha halisi tofauti na wazugaji wa mjini.Sasa hao wa vijijini huko tanga wakienda mjini watakuwa zaidi ya unavyowaona.
Mjini raha wewe asikwambie mtu.
Kuna watu wa kabila fulani walioko mkoani kwao ni weusi tii, lakini walioko mjini hata wakikwambi ni wa kabila hilo utakataa. Wako kama wasomali.
Bwashee tulia, huyo jamaa kwao Copen kaja Africa juziSi unaona vijijini moshi utadhani city centre halaf madem wakichaga pisi kali.
Ndawoo inakuwaje arriffBwashee tulia, huyo jamaa kwao Copen kaja Africa juzi
Kwa uandishi wako na wewe unajiitwa wa mjini?Mtoa mada yupo sahihi hata Mimi naliona hili niliwai kuwa mkoa mmoja kwenye pembeni ya mji pisi kali za pale ni ila zilizokuja ile sehemu kifanya Biashara ukiingia kijijini videmu aisee Kama anavyosema mtoa mada sio kwamba hawana mapoda ila moaka physical structure watu wanaokurupuka bila kufikiri wamejaa kwenye uzi
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wan
aSamahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Sidai bablai, kirabioo!?Ndawoo inakuwaje arriff
Unajua maana ya specie mkuu???Binadamu na nyani wote ni spishi moja hivyo hata wewe ni jamii ya advanced nyani.
Sikudhamiria kucheka lakini daaah 😂😂😂😂😂😂😂 ila hii statment yako inachekesha "Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani."Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !