Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Ushindie michembe na uji hauna sukari ufanane na mtu nakula soseji ,nayai na maziwa,??mwili haunengwi na tofali.

Pili mkiambiwa ntafute hela mnakasirika ikiwa masikini utaoa demu mbaya utazaa watoto wabaya
Ulichisema ni kweli ila najiuliza mbna rihanna ni bilionaire ila kazaa toto linafanana na hamorapa?
 
[emoji817][emoji818][emoji818]
 
Hivyo ni vijiji vya zamani, mambo yameanza kubadilika, had huko matombo watu washaanza kuishi kama mjini
 

kwa haraka haraka umri wako inaonekana ni chini ya miaka 25 una utoto bado kichwani

Mungu hajaumba na hajawahi kuumba binadamu mwenye muonekano (sura) mbaya

binadamu mbaya ambaye kiuhalisia hayupo unaetuaminisha wewe angelikwepo kwenye hii dunia hata wewe husingemkaribia kumtizama

ubaya na uzuri wa muonekano ni perception zetu sisi wenyewe anaweza kuwa kwako ana muonekano mbaya kwa mwingine akavutiwa nae
 
Vijijini hakuna pisi kali nyingi ndo mana kila siku tunasikia kesi za mauaji kisa wivu wa mapenzi. Ww fikiria kijiji kizima kuna mademu wazuri hawafiki hata 10 afu wanaume wapo zaidi ya 200 wote wanawagombea hao madem what is next.

Lakini mjini tuna wide chance of choosing,,,, demu akikukataa unatafuta mwngne mana pisi kali ni nyingi
 
Umemjibu kitaalamu..ata mavazi yanabadili sana muonekano wa mtu..sasa huko kijijini kupata mavazi ni shida huwezi fananisha na mtoto wa masaki anayevaa skin tight na kitop
Wanasemaga "Ur dress adress who u are"
 
Ulichisema ni kweli ila najiuliza mbna rihanna ni bilionaire ila kazaa toto linafanana na hamorapa?
huwa inashangaza sana! Unakuta dada ni mrembo ana sura nzuri lakini anazaa mtoto mbaya hata kumshika unamuogopa. Unakuta mtoto ana sura kauzu
 
huwa inashangaza sana! Unakuta dada ni mrembo ana sura nzuri lakini anazaa mtoto mbaya hata kumshika unamuogopa. Unakuta mtoto ana sura kauzu
Ndo matatzo ya kupenda hela,,, unakuta anaenda kuzaa na mstaafu[emoji28][emoji28][emoji28] anazaa katoto kamezeeka
 
Hii ni kwa sababu CCM imejikita mizizi zaidi vijijini ndanindani huko tangia enzi na enzi.
 
Tembelea upareni siku ya soko. Utafuta hii kauli yako ya KIJINGA.
Kama ulikwenda Kigoma ulitegemea nini?
 
Kila siku nawaambia wakulima na watu wa Vijijini wasipoungana kuwashikisha adabu Hawa watu wa Mjini wataendelea kuwadharau kama hivi..

Hapa wameshashiba tayari baada ya kushinikiza serikali ishushe bei za mazao ya Wakulima matokeo yake ndio haya matusi.
 
Ndio maana bora nilipwe 10k nikiwa mjini kuliko nilipwe 30 nikiwa kijijini.

Mjini ukikutana na mtoto wa Mwl anayelipwa Laki 4 utakuta ni msafi na mtanashati kuliko mtoto wa Daktari anayelipwa 1M karagwe.
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
 
😅😅😅
 
😅😅😅
 
We become what we eat.

MTu analiwa akiwa perfect. Mama anakulaza,chini ya mti akiwa analima ukiwa na mwezi mmoja tu au wiki mbili. Pale alipokulaza juu ya nyasi na kipande cha kanga after 2hrs kichwa kimepinda pinda bila yeye kunotice....life continues in similar fashion.... ukija kukua unajikuta meno yako nje kama yule bwana wa tume .
 
Mkuu unaishi kijijini ama mjini? Nataka kudraw conclusion kuhusu akili finyu za mahala ulipo. Mtu mwenye akili za kutosha hawezi kusema binadamu mwingine anafanana na nyani.
Hii ID ilipotea sana
 
Hii mikoa ndio inazalisha sehemu kubwa ya nafaka Tanzania. Kinachokosekana ni ni Milo mchanganyiko yenye lishe kamili. Mtu anakula ugali mwaka mzima!
Kwa uhalisia ugali sio chakula tunachopaswa kitumia, twakitumia sababu tumezoeshwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…