Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Mkuu Mpwapwa ndani ndani unawasema ndugu zangu wa Wotta, Lufu, Mang’aliza [emoji23][emoji23]

Anyway hapo sababu ni mazingira na Hali ya maisha. Hali ya maisha vijijini si wanawake wala wanaume wanafanya kazi ngumu sana sana. Na aina ya chakula huwa ni moja tu ugali wakibadilisha makande. Kuoga ni nadra kutokana na mazingira ya upatikanaji maji au nature za kazi maana hawezi kuoga kwenda shambani. Pia hakuna vipodozi zaidi ya mafuta ya baby care. Mavazi na malazi ni duni. Sababu ni nyingi sana na hoja yako ni kweli. Ndio maana mtu tajiri wa kijijini familia yake watoto na mke huwa ni wazuri kumbe issue ni maisha tu.
 
Watu wa kijijini wengi naona wanakuwa bila kupata lishe Bora hivyo inapelekea udumavu wa mwili hata kiakili pia kuna mtoto mmoja nimemuona ana miaka 11 katoka kijijini uko unaeza hisi ana miaka 6 au 7 pia kazi wanazofanya ni ngumu kiasi inapelekea wakomae haraka imagine mtoto anatembea kuvuka mapori kwenda shule au zaidi ya kilomita 3 kwenda kutafuta maji
 
Hii mada ni ya mwaka mmoja uliopita.

JF nyuzi hazina expire date.

Kuna sababu nyingi za kufanya watu wa mjini na vijijini kutofautiana. Wengi wameongelea lishe, mazingira, ugumu wa maisha, ugumu wa kazi n.k ambapo nakubaliana nao kwa asilimia mia kabsa.

Sababu moja ambayo wengi hawajaisema ni MUINGILIANO WA DAMU.

Tuchukulie Dar es salaam ni kawaida kukuta mhaya kaoana na mchaga au mndengeleko. Hii inafanya kuwa na machotara wa makabila. Na kuchanganya muonekano.

Sasa fikiria wote mnatokea Namtumbo na mmekutana namtumbo na mnatokea kabila moja. Lazima ule muonekano wa sura zenu zitafanana na wananamtumbo walio wengi kwa sababu uki fatilia sana utakuta huko kale walikua ndugu. Kwa hiyo mnaendelea kuoana bandugu kwa bandugu. Kama mna machogo ni machogo kama pua kubwa ni pua kubwa kama mwanya ni mwanya.

Kwa hiyo muingiliano wa wanajamii pia husaidia kuchanganya damu.

Msukuma akikutana na mmbulu lazima watoe kitu tofauti.
 
Dhihaka hizi ila ni ukweli.Kutumia Nguvu nyingi kutafuta chakula , kiufupi wanafanya kazi za kutweza mwili,wanakula Kwa jasho jingi mwili inakosa Nuru.
 
SubhanAllah!😎
 
Wazungu wanaona Waafrika kama manyani, nawe mwafrika mwenzetu unaona mwenzako kama nyani?
 
Hapo unazungumzia nature and nuture.

Binadamu kiasili huwa ni mzuri , ila binadamu anaweza kuathiriwa na athari za kimazingira . na mwonekano wake ukapotea.

Mfano swala la chakula
Ufanyaji wa kazi.

Makazi .

Ukianza na chakula ,watu wa vijijini hula chakula kingi amabacho hakina virutubisho muhimu hivyo hufanya mmengenyo wa chakula kuwa mkubwa Sana. (Metabolism) na metabolism ikiwa juu lazima MTU azeeke mapema na kuonekana Ana sura ngumu na mzee.


Ufanyaji wa kazi- hii watu wa vijijini hujikuta wanafanya kazi ngumu za kuuchosha mwili na kupelekea mwili kuchoka na kuzeeka mapema.


Makazi - watu wa vijijini huwa na makazi mabovu Sana ambayo hayana huzuia urutibishaji wa mwili .


Nb Hizo point hapo juu ni lifestyle hivyo lifestyle yako ikiwa duni sehemu yoyote iwe mjini au kijijini utaonekana kuchoka mapema.
 
Lakini kuna mboga saba wanatembea kama wana shida kwenye nyonga,wanakuwa soft ila wana maumbo ya hovyo sana kama wahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…