Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
😜😜Kumbe mpare[emoji12][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😜😜Kumbe mpare[emoji12][emoji12]
Watu wa kijijini wengi naona wanakuwa bila kupata lishe Bora hivyo inapelekea udumavu wa mwili hata kiakili pia kuna mtoto mmoja nimemuona ana miaka 11 katoka kijijini uko unaeza hisi ana miaka 6 au 7 pia kazi wanazofanya ni ngumu kiasi inapelekea wakomae haraka imagine mtoto anatembea kuvuka mapori kwenda shule au zaidi ya kilomita 3 kwenda kutafuta majiSamahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bà si wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Dhihaka hizi ila ni ukweli.Kutumia Nguvu nyingi kutafuta chakula , kiufupi wanafanya kazi za kutweza mwili,wanakula Kwa jasho jingi mwili inakosa Nuru.Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bà si wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
SubhanAllah!😎Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bà si wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Wazungu wanaona Waafrika kama manyani, nawe mwafrika mwenzetu unaona mwenzako kama nyani?Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bà si wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Lakini kuna mboga saba wanatembea kama wana shida kwenye nyonga,wanakuwa soft ila wana maumbo ya hovyo sana kama wahindi.Kipato ni one of the biggest factors kumshepu binadamu. Umaskini huleta maradhi ambayo yana big effects kwenye physiological appearance ya mtu.
Mfano, maskini wanaoliea na funza automatically vidole vya miguuni vitakaa upande hence hata tembea zitakuwa na kasoro; watadeviate from normal. The same kwa maskini wanaosumbuliwa na chawa, kunguni, etc ngozi zao lazima ziwe na kasoro. Mshukuru Mungu.