darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Hii mikoa ndio inazalisha sehemu kubwa ya nafaka Tanzania. Kinachokosekana ni ni Milo mchanganyiko yenye lishe kamili. Mtu anakula ugali mwaka mzima!Hawana sura mbovu ila hawanaga Nuru ...Unajua Nuru inachangiwa na nn?
Kuna vitu kama lishe ndo maana ngozi Zina komaa na maswala ya kutumia hata showergel na mafuta mazuri hakuna ndo maana wanapoteza urembo wao.
Kuna madogo huko wanakosa matunzo ila wakija town hapa wanapendeza kwani wako na uzuri wa halisi..Mji ujuaji ni mwingi hata pisi mbovu itajipiga make up .
Angalia hyo mikoa lishe zao zilivyoduni ial wakija town ndo hao wengi ni warembo
View attachment 2519727