Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Hawana sura mbovu ila hawanaga Nuru ...Unajua Nuru inachangiwa na nn?

Kuna vitu kama lishe ndo maana ngozi Zina komaa na maswala ya kutumia hata showergel na mafuta mazuri hakuna ndo maana wanapoteza urembo wao.

Kuna madogo huko wanakosa matunzo ila wakija town hapa wanapendeza kwani wako na uzuri wa halisi..Mji ujuaji ni mwingi hata pisi mbovu itajipiga make up .

Angalia hyo mikoa lishe zao zilivyoduni ial wakija town ndo hao wengi ni warembo
View attachment 2519727
Hii mikoa ndio inazalisha sehemu kubwa ya nafaka Tanzania. Kinachokosekana ni ni Milo mchanganyiko yenye lishe kamili. Mtu anakula ugali mwaka mzima!
 
Huyu mtu asiandamwe apingwe kwa hoja kama hizi
1676573236862.jpg

NB: utajiri wa Rihanna ni Sawa na utajiri Wa Mo wetu.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Tembelea vijijini Moshi,nenda tanga vijijini,nenda singida vijijini ,nenda kondoa Kwa warangi ,nenda kaone karatu Vijijini tembelea vijini vya ,babati manyara utakuja kugundua Uzi wako ni WA kipumbavu Tu Vijijini kuna watu wazuri kama mjini au kwako mawigi,lotion na mavazi ndio uzuri.
 
Lishe na kazi ngumu,kijijin mtu anashindia makande na mlenda,mjini ni mwendo wa pizaa kiepe ,huku wakila kiyoyozi.

Kimsingi watu wa kijini na wa mjini wanatofauti kubwa ki mwonekano.
Kama ni lishe mbona vijijini ni kitu cha kawaida kuwakuta wazee miaka 80>90 na kuendekelea wakiwa wazima afya Tele na wanafanya shughuli zao za kila siku.
Ingali wazee wa hapa mjini(penye lishe) wenye umri huo huo hawawezi kufanya task km mzee wa kijijini?
 
Hii ipo hata kwenye dini, kuna wazee wa dini fulani wana sura mbaya zilizokakamaa tofauti na wazee wa dini nyingine. Ila wanawake wa dini yenye wazee wenye sura mbaya ni wazuri hasa wanapokuwa kwenye mavazi yao utawapenda sana kwa wanavyoonekana usoni wamejikwatua kwa urembo wa kuvutia
 
Hawana sura mbovu ila hawanaga Nuru ...Unajua Nuru inachangiwa na nn?

Kuna vitu kama lishe ndo maana ngozi Zina komaa na maswala ya kutumia hata showergel na mafuta mazuri hakuna ndo maana wanapoteza urembo wao.

Kuna madogo huko wanakosa matunzo ila wakija town hapa wanapendeza kwani wako na uzuri wa halisi..Mji ujuaji ni mwingi hata pisi mbovu itajipiga make up .

Angalia hyo mikoa lishe zao zilivyoduni ial wakija town ndo hao wengi ni warembo
View attachment 2519727
bora mkoa wa pwani haupo hata mmoja ungekuwepo ungesikia ....ooh tatizo shule oooh wavivu kulima 😁😀
 
Ni kwa sababu ya Kazi ngumu na kukosa vitakasa mwili kama sabuni na mafuta. Kazi ngumu na jua kali vina zeesha mwili.

Watu wa vijijini jua lote la siku linaishia kwenye mwili, hawapati virutubisho vya ngozi, lishe duni, n.k.
Mwili unahitaji matunzo, kuogeshwa na sabuni, kupakwa mafuta, kukingwa na jua.

Lakini pia watu wa mjini hasa wanawake wana vitu bandia vingi kwenye miili yao. Nywele bandia, uso bandia ulio kandikwa angel face, kope bandia, wanja n.k.

Mwisho ni mavazi, mavazi pia yanafanya mtu apendeze, watu wa vijijini hawana mavazi mazuri, mavazi yame fubaa n.k.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
kwa taarifa yako hao ndio wanaoishi miaka mingi.
 
Lishe na kazi ngumu,kijijin mtu anashindia makande na mlenda,mjini ni mwendo wa pizaa kiepe ,huku wakila kiyoyozi.

Kimsingi watu wa kijini na wa mjini wanatofauti kubwa ki mwonekano.
Vijijini hawajui kupanga diet, vyakula vyao ni wanga % 99, kukuta wanakula Mayai, maziwa, Samaki, Nyama na matunda ni ngumu, vijiji vingi wanakula asubuhi Uji, mchana ugali na mboga za majani usiku ugali tena, Asubuhi uji mchana ugali usiku ugali, kula nyama mpaka mnyama afe

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Matajiri hawana mawazo ya namna ya kupata kile wanachohitaji (Stress zinazeesha).Wanalala pazuri.
Mjini hakuna uchawi. Wewe fikiria mtu anakosa usingizi usiku kucha anapambana na wachawi (kelele za paka, bundi, panya nk,) atapendeza lini? Na ujue usingizi ni tiba
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Huyo wa masaki mvizie asubui akiwa katoka kulala.
 
Back
Top Bottom