Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Wale Ni wabovu Ni pesa tu wanazo..mtoto wa rihhana umemuona?
Lingsnisha hao wa vijiji vya Tanga na wanaoishi miji ya Tanga. Kuna namna fulani ya kufubaa wayu wa vijijini.
Sawa na kulingsnishs mtu wa Afrika na Marekani. Ni vitu viwili tofauti.
 
Nakupingaaaaaa,money is everything uzuri unanunuliwa kuanzia kula,kuvaa,kulala ukiwa na hela stress ni rarely sura inawaka ,hata kama ukikaa kijijin una mtonyo lazima uwe kazur ila hata ukiwa mjini life gumu lazima kasoro ionekane
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Kiakili naona kama unafanana na wa matombo
 
Wewe ukiwa na sura nzuri unapata faida zipi

Umasikini ni akili na sio pesa

Mfano wewe mtoa Mada ni masikini wa Akili kwa sababu hujitambui .

Mimi nachukia Binadamu kumtukana Binadamu mwenzie ...
 
Kipato ni one of the biggest factors kumshepu binadamu. Umaskini huleta maradhi ambayo yana big effects kwenye physiological appearance ya mtu.

Mfano, maskini wanaoliea na funza automatically vidole vya miguuni vitakaa upande hence hata tembea zitakuwa na kasoro; watadeviate from normal. The same kwa maskini wanaosumbuliwa na chawa, kunguni, etc ngozi zao lazima ziwe na kasoro. Mshukuru Mungu.
Umemjibu kitaalamu..ata mavazi yanabadili sana muonekano wa mtu..sasa huko kijijini kupata mavazi ni shida huwezi fananisha na mtoto wa masaki anayevaa skin tight na kitop
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Nyumba yenye muonekano na madhari mbovu ikichukuliwa na mwenye uelewa na uwezo mzuri kiuchumi na kuikarabati, utasahau na kukataa kuwa sio ile ya awali.

Sasa basi, ndivyo ilivyo kwa watu wachache wa vijijini na mijini.

Kitu cha msingi ni kuwa na uelewa na uwezo wa kiuchumi kuwezesha kutendeka kile unachoelewa au kuweka katika vitendo na kupata matokeo.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Nyie watu wa Morogoro mkishafika Dar tu mnaona mnaona ndio mwisho wa safari hapa duniani.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Kijijini unapigwa jua sana kwakutumia masaa mengi kazi ngumu %80ya maisha yako usipotumia nguvu hupati ridhiki .mana fursa za biashara,viwanda,ajira hakuna.Kuoga nadra mafuta nadra umategemea nini?
 
Kama kuna mtu anabisha hajaishi kijijinj wala hajawahi kufika.

Mimi nakumbuka ndugu zetu kutoka mjini wakija wanakuwa kivutio cha utalii,wakiume watagombaniwa na madem mpaka mshangae.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Kwa sababu ya milima.
 
Sasa mkuu umeshindwa kutaja sehem ingine,sisi wa matombo tumekukosea nini au shangazi zangu wa kule pwaga, mpwapwa wamekukosea nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uswahili tunapotoka tunaishi maisha ya kawaida hatuna pesa ila kuna mademu wakali vibaya sana na hawatumii makeup, hivyo hivyo hata vijijini madem wengi ni wakali kinyama ila hawavai tu nguo mpya ila wakitupia code kali hata rihana haoni ndani

Mimi naona ushuani ndo huwa hamna madem wakali ni pesa tu ndo zinawasaidia kuvaa nguo nzuri, kuvaa mawigi na kufanya makeup kama wamepakwa vumbi usoni, 50% ya uzuri wao ni fake Hadi kucha siyo zao
 
Umepataja kwetu mimi ni mpare najua dada zangu wazuri sana. Ila bàdo huo utafiti wangu ni sahihi [emoji817]

Na wewe utakuwa ni kizazi ya zakayo mutu mufupi[emoji23][emoji23][emoji23] Maana hapo gonja hamnaga wanaume warefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukiwa uku mujini unaonekana ni kituko mkuu (superbug)
 
Selective pressure inawa favour aina fulani ya watu.
 
Hii ipo hata kwenye dini, kuna wazee wa dini fulani wana sura mbaya zilizokakamaa tofauti na wazee wa dini nyingine. Ila wanawake wa dini yenye wazee wenye sura mbaya ni wazuri hasa wanapokuwa kwenye mavazi yao utawapenda sana kwa wanavyoonekana usoni wamejikwatua kwa urembo wa kuvutia
Una utani na mlolongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom