Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeeee !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lingsnisha hao wa vijiji vya Tanga na wanaoishi miji ya Tanga. Kuna namna fulani ya kufubaa wayu wa vijijini.
Sawa na kulingsnishs mtu wa Afrika na Marekani. Ni vitu viwili tofauti.
Watoto gani huzaliwa na sura mbayaBantu Face hio, haijibu hoja. Huyo mtoto anangozi nzuri kuliko ya Hamo.
Nilichojifunza watoto huzaliwa na sura mbaya na huanza kubadirika taratibu.
Kiakili naona kama unafanana na wa matomboSamahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Umemjibu kitaalamu..ata mavazi yanabadili sana muonekano wa mtu..sasa huko kijijini kupata mavazi ni shida huwezi fananisha na mtoto wa masaki anayevaa skin tight na kitopKipato ni one of the biggest factors kumshepu binadamu. Umaskini huleta maradhi ambayo yana big effects kwenye physiological appearance ya mtu.
Mfano, maskini wanaoliea na funza automatically vidole vya miguuni vitakaa upande hence hata tembea zitakuwa na kasoro; watadeviate from normal. The same kwa maskini wanaosumbuliwa na chawa, kunguni, etc ngozi zao lazima ziwe na kasoro. Mshukuru Mungu.
Nyumba yenye muonekano na madhari mbovu ikichukuliwa na mwenye uelewa na uwezo mzuri kiuchumi na kuikarabati, utasahau na kukataa kuwa sio ile ya awali.Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Nyie watu wa Morogoro mkishafika Dar tu mnaona mnaona ndio mwisho wa safari hapa duniani.Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Kijijini unapigwa jua sana kwakutumia masaa mengi kazi ngumu %80ya maisha yako usipotumia nguvu hupati ridhiki .mana fursa za biashara,viwanda,ajira hakuna.Kuoga nadra mafuta nadra umategemea nini?Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Kwa sababu ya milima.Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu umeshindwa kutaja sehem ingine,sisi wa matombo tumekukosea nini au shangazi zangu wa kule pwaga, mpwapwa wamekukosea nn
Umepataja kwetu mimi ni mpare najua dada zangu wazuri sana. Ila bàdo huo utafiti wangu ni sahihi [emoji817]
Dogo Semenya faster pitia Hapo dukani kwa Mangi uagizie chochote ntapita baadaye kulipa.Huyu mtu asiandamwe apingwe kwa hoja kama hiziView attachment 2519733
NB: utajiri wa Rihanna ni Sawa na utajiri Wa Mo wetu.
Rudisha avatar picha yako tuliyokuzoea uliovaa kijeshi.Na wewe umefanana na nyani sio?
Una utani na mlolongo[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ipo hata kwenye dini, kuna wazee wa dini fulani wana sura mbaya zilizokakamaa tofauti na wazee wa dini nyingine. Ila wanawake wa dini yenye wazee wenye sura mbaya ni wazuri hasa wanapokuwa kwenye mavazi yao utawapenda sana kwa wanavyoonekana usoni wamejikwatua kwa urembo wa kuvutia