Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Hii ipo hata kwenye dini, kuna wazee wa dini fulani wana sura mbaya zilizokakamaa tofauti na wazee wa dini nyingine. Ila wanawake wa dini yenye wazee wenye sura mbaya ni wazuri hasa wanapokuwa kwenye mavazi yao utawapenda sana kwa wanavyoonekana usoni wamejikwatua kwa urembo wa kuvutia
wanawake wa Kiislamu wazuri
 
kijijini unakuta kila siku magimbi na uji…lishe duni, kupata nyama, samaki ni mara chache sana.
Kazi ngumu..unakuta mchana kutwa wanashinda juani kufanya kazi ngumu hiyo nuru itakuja saa ngapi
Hawaogi kila siku na hata wakioga wanapaka mafuta ya kula au asipake kabisa au apake mafuta ambayo hayakai kwenye ngozi muda mrefu.
In short hizo huduma zinazopatkana mjini zipelekwe na huko milimani uone kama hawatapendeza.
 
Watu wamatombo wafanane na nyani, halafu wa mjini wafanane na maraika how comes....,

Kwa Nini wamjini usiwatafutie mnyama wa kufanana nao Kama huyo wa matombo (anae fanana na nyani), kuliko kumfananisha na malaika ambae hata wewe hujawai muona...!!!?
 
kwa haraka haraka umri wako inaonekana ni chini ya miaka 25 una utoto bado kichwani

Mungu hajaumba na hajawahi kuumba binadamu mwenye muonekano (sura) mbaya

binadamu mbaya ambaye kiuhalisia hayupo unaetuaminisha wewe angelikwepo kwenye hii dunia hata wewe husingemkaribia kumtizama

ubaya na uzuri wa muonekano ni perception zetu sisi wenyewe anaweza kuwa kwako ana muonekano mbaya kwa mwingine akavutiwa nae
Naomba twende kidogokidogo Mkuu kwa lengo la kujifunza mimi sio mjuzi Kama nitakosea nisamehewe.

Moja, kusema fulani mbaya haimaanishi kuwa kakosewa kuumbwa bali inamaana ndio kaumbwa hivyo kuwa mbaya Hivyo...kitu pekee nachojua kibinadamu huwezi sema huyu mbaya unakufuru ila wazuri wapo na tunakuwa huru kusema uwoya mzuri, wema, zari sijui Anjeri nk kwasababu ni jambo zuri

So kinyume Cha uzuri Ni ubaya kwamantiki hio unaamini hakuna binadamu mbaya kimaumbire??

Jibu ni wapo ila kibinadamu huwezibsema binadamu mbaya REALITU vs HUMANITY sisi binadamu tunafungwa na vitu vingi ukiondoa Dini, sheria, tamadumi pamoja na UBINADAMU(HUMANITU) nafikiri kinachokufunga wewe Ni HUMANITY na Mimi hapa nimejaribu kuelezea nje ya HUMANITY nakisema REALITY

HUMANITY inanibana so siwezi post picha ya mtu nikasema huyu mbaya nimetaka tujadiri tu
 
Kwa uhalisia ugali sio chakula tunachopaswa kitumia, twakitumia sababu tumezoeshwa hivyo.
Himars vydkula vipo vingi sana Tanzania.
Tanzanis ndio nchi ya maziwa makuu hivyo samaki tele., maharage,dengu ndizi , nuts,fruits,maziwa,meat,mbogamboga nk.
Kula hivyo mkuu lisha mtoto wako vyakila hivyo muda wa kulalamika ulishapita chukua hatua.
Kumbuka chakula alacho mtu kizingatie umri na shughuli anayofanya mtu.
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Ukiangalia video za mama wakati ni makamu na sasa wakati ni rais ni tofauti, kwasasa mama amenona zaidi, kang'aa kwelikweli
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
wewe mbona sura yako mbaya?
 
Mkuu umekuwa na mtizamo wa kibinadamu sana ila kumbuka haya

"Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu"
Mtu kaumbwa kwa mfano wa Kimungu, kwahyo kusema mtu ni mbaya haya hauko sawa kabisa.

Hapo kwenye rangi nyekundu. Sijui kumfananisha malaika na mwanamke umekutoa wapi. Hivi ulishaona au kusikia habari za huyo malaika wa kike?

Mkuu usijichumie dhambi zisizo za lazima.
 
Waafrica ndio wabaguzi wa kwanza duniani!
Mtu kukaa mjini na kula broiler na mayai ya kisasa anajiona ameWIN..
Mtu wa kijijini anaishi miaka mingi hawana changamoto nyingi anaweza ruka mahali ambapo mtu wa broiler akijaribu atavunyika vunjika..
Sipati pia mwaka kama 500B.C. mababu zetu walikuwaje vyovyote vile usijione kuwa na kitambi na kalio ndio akili
 
Naomba twende kidogokidogo Mkuu kwa lengo la kujifunza mimi sio mjuzi Kama nitakosea nisamehewe.

Moja, kusema fulani mbaya haimaanishi kuwa kakosewa kuumbwa bali inamaana ndio kaumbwa hivyo kuwa mbaya Hivyo...kitu pekee nachojua kibinadamu huwezi sema huyu mbaya unakufuru ila wazuri wapo na tunakuwa huru kusema uwoya mzuri, wema, zari sijui Anjeri nk kwasababu ni jambo zuri

So kinyume Cha uzuri Ni ubaya kwamantiki hio unaamini hakuna binadamu mbaya kimaumbire??

Jibu ni wapo ila kibinadamu huwezibsema binadamu mbaya REALITU vs HUMANITY sisi binadamu tunafungwa na vitu vingi ukiondoa Dini, sheria, tamadumi pamoja na UBINADAMU(HUMANITU) nafikiri kinachokufunga wewe Ni HUMANITY na Mimi hapa nimejaribu kuelezea nje ya HUMANITY nakisema REALITY

HUMANITY inanibana so siwezi post picha ya mtu nikasema huyu mbaya nimetaka tujadiri tu
kungekwepo na binadamu mbaya kwa luonekano husingeweza hata kumtizama uson

ndio mana nika refer kwenye perception ya mtu hao unaosema ni wazuri kwa kutumia kigezo gan au kuna binadamu mzuri aliwahi umbwa ndio unaona hao akina uwoya wamefanana nae????
 
Back
Top Bottom