HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hao wamezaliwa zamaniUshawai kufika posta pale ikulu au makao makuu ukakutana na wasira,spika tulia,remutuzi,mstaafu siro,mama sita na wengine na wote wamjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamezaliwa zamaniUshawai kufika posta pale ikulu au makao makuu ukakutana na wasira,spika tulia,remutuzi,mstaafu siro,mama sita na wengine na wote wamjini
wanawake wa Kiislamu wazuriHii ipo hata kwenye dini, kuna wazee wa dini fulani wana sura mbaya zilizokakamaa tofauti na wazee wa dini nyingine. Ila wanawake wa dini yenye wazee wenye sura mbaya ni wazuri hasa wanapokuwa kwenye mavazi yao utawapenda sana kwa wanavyoonekana usoni wamejikwatua kwa urembo wa kuvutia
Unadhani ugali tunaokula ni mzuri?Pamoja na kukubaliana na mtoa mada ila asilimia kubwa ya waafrika tumedumaa na kufubaa.
Mjini mtu anajulikana mgonjwa sababu anapima.Kwann watu wa mjini ni goigoi(wagonjwa), kulinganisha watu wa vijijin .
AiseeeKuleni vizuri ndo maana shape kama kabati ,vifua vikubwa miguu kama kware
Naomba twende kidogokidogo Mkuu kwa lengo la kujifunza mimi sio mjuzi Kama nitakosea nisamehewe.kwa haraka haraka umri wako inaonekana ni chini ya miaka 25 una utoto bado kichwani
Mungu hajaumba na hajawahi kuumba binadamu mwenye muonekano (sura) mbaya
binadamu mbaya ambaye kiuhalisia hayupo unaetuaminisha wewe angelikwepo kwenye hii dunia hata wewe husingemkaribia kumtizama
ubaya na uzuri wa muonekano ni perception zetu sisi wenyewe anaweza kuwa kwako ana muonekano mbaya kwa mwingine akavutiwa nae
Sio wote wanakula ugali. Wengine wali,ndizi nkUnadhani ugali tunaokula ni mzuri?
Himars vydkula vipo vingi sana Tanzania.Kwa uhalisia ugali sio chakula tunachopaswa kitumia, twakitumia sababu tumezoeshwa hivyo.
Kwahiyo "mchepuko" wangu akibadili dini atakuwa mzuri?wanawake wa Kiislamu wazuri
Ngoja likue lijipige makeups ndio utajua hujui,diamond mdomo ulisinyaa sababu ya pesaUlichisema ni kweli ila najiuliza mbna rihanna ni bilionaire ila kazaa toto linafanana na hamorapa?
Ukiangalia video za mama wakati ni makamu na sasa wakati ni rais ni tofauti, kwasasa mama amenona zaidi, kang'aa kwelikweliSamahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
wewe mbona sura yako mbaya?Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Mkuu umekuwa na mtizamo wa kibinadamu sana ila kumbuka hayaSamahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.
Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.
Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
🙆♂️🙆♂️🙆♂️Wewe utakuwa Mtu wakwetu!!!Daaaa Mamba Miamba,Parane,Goha
kungekwepo na binadamu mbaya kwa luonekano husingeweza hata kumtizama usonNaomba twende kidogokidogo Mkuu kwa lengo la kujifunza mimi sio mjuzi Kama nitakosea nisamehewe.
Moja, kusema fulani mbaya haimaanishi kuwa kakosewa kuumbwa bali inamaana ndio kaumbwa hivyo kuwa mbaya Hivyo...kitu pekee nachojua kibinadamu huwezi sema huyu mbaya unakufuru ila wazuri wapo na tunakuwa huru kusema uwoya mzuri, wema, zari sijui Anjeri nk kwasababu ni jambo zuri
So kinyume Cha uzuri Ni ubaya kwamantiki hio unaamini hakuna binadamu mbaya kimaumbire??
Jibu ni wapo ila kibinadamu huwezibsema binadamu mbaya REALITU vs HUMANITY sisi binadamu tunafungwa na vitu vingi ukiondoa Dini, sheria, tamadumi pamoja na UBINADAMU(HUMANITU) nafikiri kinachokufunga wewe Ni HUMANITY na Mimi hapa nimejaribu kuelezea nje ya HUMANITY nakisema REALITY
HUMANITY inanibana so siwezi post picha ya mtu nikasema huyu mbaya nimetaka tujadiri tu