Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali?

Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile.

Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya Jambo la maana kwa Taifa langu nikialikwa Ikulu kula Chakula sitoenda na kwa Dharau na Jeuri nitamwambia siendi na badala yake nitamualika Yeye mwenye Ikulu yake aje Kwangu Nyumbani na Mkewe au Mumewe.

Kila la Kheri Waroho mlioalikwa Ikulu ya nchi yoyote il hapa duniani ila kwa Mimi Rais wangu wa hapa niishipo na Kwetu Czech Republic akinialika Ikuku Kwake kwenda Kula nitamwambia aache Kunisumbua na ikiwezekana awatafute Wanafiki na Wapuuzi wenzake waende.
 
Simba mnateseka sana jmn![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom