Mkuu kwani wangapi wamesoma na hawajafanikiwa?wanaozaliwa mijini kusoma hawataki, wanaishia kuwa chawa tu ndo maana hawafanikiwi.
MO hizo mali ni za urithi....usimfananishe na watu kama akina mzee Mengi ambao wameanza from scratch.Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Watu wanaongelea hustlers we unaongelea warithi!??Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Kama ni hivyo tuwachukue watoto waliozaliwa mjini na kukulia mjini tuwapeleke kijijini tuone sasa kama hawatageuka walevi wa mnazi, mbege, rubisi na ulanzi tu[emoji1][emoji1][emoji1]Watu waliokuona tangu ukiwa mdogo hawawezi kukuona unafanikiwa na kuwazidi
Ndo maana wanasema Nabii hakubaliki kwao
Lazima utoke kwenu uende kwingine ufanikiwe..
Unakwepa wachawi wanaokujua..
Ugenini ni ni rahisi hakuna anaejua plans zako
Wapi nimesema kuwa nimefanya utafiti?nilichokisema ni observations zangu tu.Utafiti wako umethibitishwa na taasisi gani inayotambulika kitaifa na kimataifa? Hata DSM pia kuna vijiji. Maelezo yako hayatoshelezi kushawishi watu wajuao UTAFITI
MO hizo mali ni za urithi....usimfananishe na watu kama akina mzee Mengi ambao wameanza from scratch.
Watu wanaongelea hustlers we unaongelea warithi!??
Naona hilo swali nikuulize wewe.Umeelewa mleta mada alichoandika?