vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Pemba mnazi, zingiziwa, mvuti nkTaja kijiji kimojawapo dsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pemba mnazi, zingiziwa, mvuti nkTaja kijiji kimojawapo dsm
Wakuja akija town lazima apambane maana hana wa kumtegemea zaidi yake mwenyeweHello JF
Nimekuwa nikiona watu wengi waliozaliwa vijijini na kuja mjini kutafuta maisha,wengi wao huwa wanafanikiwa sana kimaisha. Mfano angalia watu kama akina Magufuli, Nyerere, Zitto kabwe, Reginald Mengi, Mkapa, Gachuma na wengine wengi tu
Literally walikuja mjini wakiwa tayari ni vijana wakubwa lakini wamekuwa ni watu waliofanikiwa katika maeneo yao waliyoyatumikia tofauti na watu wengi waliozaliwa maeneo ya Mjini ambao wengi wao tunaona wanashinda vijiweni tu na kujisifia kuwa wao ni born town.
Tatizo ni nini?